Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wanajopo.

Hii nchi tumechelewa sana katika medani za Uchumi kwa maana ya maendeleo,Rais Magufuli ndio Kilongora ambae ana ghala lililo sheheni maarifa na weledi katika kutuletea maendeleo halisi.

Shime watanzania tumuunge mko Rais wetu nazaidi tumpe ushirikiano wa kutosha hasa kwenye maboresho yale ambao ni ya kitaifa ili ayafanyie kazi kwa ustawi wa Nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naomba nikuambie jambo moja tu uliweke katika tafakari zako: HAKUNA NCHI DUNIANI INAENDELEA BILA WAFANYABIASHARA.
 
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza, kuandika hujui. Wanahitaji, badala ya wanaitaji. Pili, ninyi ni miongoni mwa waTanzania wabinafsi, kwasababu tu unakula na kunufaika kupitia chama cha mapinduzi, na unakula na kunya vizuri, basi hujali wengine wanaishije. Tatu, muhula wake wa kwanza unaisha, je, uchumi unakua au unashuka? Nne, acha kutumika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mada zenu huwa zinatuchosha! mkilala mkiamka, mnawaza kumsifia mtu mmoja tu wakati kiukweli tangu aingie madarakani, ameyafanya tu maisha ya makundi yote muhimu kwenye jamii kuanzia wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara kuwa ya kuunga unga!! Amefanikiwa kwenye uchumi upi huo? au ndiyo yale mambo yetu ya buku 7 nini kwa siku?
 
Wewe akili yako mbovu unawekewa bando kutwa nzima kutukana mitandaoni.Mie silipwi na shughuli zako kama Mtanzania ambae najua fulsa zote nawe njo nikufundishe ili uwaambie na nyumbu wenzako huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo huanzia kwa watu ili waweze kuiendeleza nchi, serikali hawezi kuleta maendeleo kwa kununua vitu. Maendeleo tunayoyaona China yanatokana na watu si serikali.
 
Hivi wewe ni mzima kweli mtu ambaye hajui anapotoka wala anakoenda atawezaje kuleta maendeleo ?Atutuletea maendeleo kwa voti namba ishirini ,kutupiga tilioni 2.4 ndio maendeleo ,kuzuia na kufanya mizengwe ili CAG atolewe kijanja ili kukwepa ripoti yake isijadiwi bungeni ?hayo ndio maendeleo ripoti ya CAG kupokelewa kimyakimya halafu hajaikabidhi bungeni ili afiche nini ?hayo ndio maendeleo ? kuajiriwa kazi ya mataga basi unajiona umepata maendeleo huku ndugu zako wrote wanateseka na aliekuajiri .
 
Hutaki kufanya kazi umekaa kulalamika kama mwehu,njoo tukufundishe uone fulsa Nchi zilivyojaa than vijana kulialia tu. Hiki chuma kama wewe umezoea pesa za upigaji mtanyooka sana hii awamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumezoea kuisikia misemo ya "wananunua ndege wakati vijijini hakuna huduma za hospital"

Najiuliza tu wapiga kura wakina mama na wazee kwenye hili wataanzaje kumnyima Magufuli kura 2020?

=====

Mhe. Rais Magufuli amefungua Kituo cha Afya cha Mbonde Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara. Ni moja ya Vituo vya Afya 13 vilivyojengwa Mkoani Mtwara katika Awamu ya Tano na ni miongoni mwa Vituo vya Afya 352 vilivyojengwa nchi nzima katika Awamu hii ya Tano.
 
Binafsi sitoshangaa, maana bwana mkubwa sikuzote huwa hataki kuangushwa! Elewa NEC wao ni kumfurahisha jiwe hata kama matokeo yatakuwa ya kupikwa.
 
kasome vizur MDG
Kasome vizur na uelewe MMAM
Soma vizuri maazimio ya Abuja juu ya bajeti ya afya na dawa kwa nchi za Afrika.
mengine muwe mnaongea mkiwa vyumbani
 
kasome vizur MDG
Kasome vizur na uelewe MMAM
Soma vizuri maazimio ya Abuja juu ya bajeti ya afya na dawa kwa nchi za Afrika.
mengine muwe mnaongea mkiwa vyumbani
Hayo ni mabrasha tu hayana uhusiano wowote na utekelezaji wa maazimio hayo, au walitoa fedha za utekelezaji baada ya kuazimia?
 
Tutashangaa asiopotangazwa mshindi kwa % hizo maana ndio amepanga atangazwe kwa asilimia hizo. Angekuwa anaweza kushindana hapo tungeelewa. Ni sawa na Yanga kuingia na kucheza huku refa, na linesman wote wakiwa wanajua ni lazima Yanga ishinde na ni wajibu wao kuhakikisha Yanga inashinda halafu isishinde. Simply Magufuli hawezi ushindani na hatakaa aweze.

 
Hapo mbona umempunguzia kura zake 0.09%?.

Kwa jinsi anavyopendwa na anavyokubalika, atashinda kwa 99.9%

P
 
Hayo ni mabrasha tu hayana uhusiano wowote na utekelezaji wa maazimio hayo, au walitoa fedha za utekelezaji baada ya kuazimia?
Kama hutaki kuangalia malengo, ili uweze kupima na kujua kama unapiga hatua kwa kasi inayotakiwa, hayo yote yatakuwa porojo. Wakati Tanganyika inapata uhuru 1961, idadi ya watu ilikuwa 12 million. Sasa hivi kuna watu 56 million. Kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu karibu kila ngazi(Kijiji/Mitaa, Kata, Tarafa, Mijiji etc ) Kinachotakiwa ni kuangalia viwango vya uwiano na kasi yake ya kuongezeka na sio kushangilia namba/idadi tu bila uchambuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…