Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

tutampima kwa matokeo kama vifaa vya kutosha mahospitalini, madawa ya kutosha, wafanyakazi wa kutosha hasa elimu na afya, vitendea kazi vya kutosha mashuleni, wanafunzi wenye sifa elimu ya juu wote wanapata mikopo, barabara nzuri, maji salama, umeme wa uhakika, uchumi wa mtu mmoja mmoja umekua n.k hatutampima kwa ziara maofisini
Bila kusahau kufuata sheria na katiba ambapo kwake ni ziro ,nenda kwenye tilioni 2.4 zilizoibiwa MTU na namna hiyo unaweza kumsifia kweli hapo sijaenda kwenye mauaji na uchumi .
 
Mara nyingi tumeshuhudia watendaji wengi wakishindwa kwenda na ari, mtazamo, kasi na uwezo angalau unaokaribia wa Rais wetu Dr. JPM. Tukio la mwisho lililonihuzunisha sana ni lile la ucheleweshwaji wa wawekezaji toka Mauritius. Kwa mtanzania yoyote mzalendo lazima alipata hasira sana kutokana na maelezo ya Rais kuhusu ucheleweshwaji huo.

Inaonyesha watendaji wengi bado wanaishi miaka kumi nyuma. Hili sio tatizo dogo ni tatizo la watanzania wengi. Hawako proactive, ni laissez faire, business as usual, indecisive, kwa ujumla wanakabiliwa na procrastination. Nchi haiwezi kusonga mbele na watendaji sampuli hii.

Majibu yao ni rahisi sana: Tunasubiri mchakato wa wizara, tunafuatilia, hawafikirii kufanya utendaji wenye matokeo, utendaji unaoacha alama. Bahati nzuri wapo watanzania wachache ambao tumebarikiwa kuwa na caliber inayokaribia Rais JPM ya uwezo wa kufanya maamuzi, kufuatilia jambo, na kuruka viunzi ya urasimu na red tape. Bahati mbaya wengine tupo nje kabisa ya mfumo was serikali, lakini uwezo tunao + elimu, ila kulingana na utaratibu ulivyo ni ngumu kuonekana na mamlaka za uteuzi au zinapendekeza uteuzi.

Kwa kuwa tuna uzalendo na nchi yetu, na ni muhimu kujitoa kwa ajili ya kutumikia nchi yetu, ninaomba tujiorodheshe hapa wenye nia ya kufanya kazi na Rais JPM kwa viwango vyake, msijali kupitia hapa tutambulika na kuonwa (the power of social media) na ninaamini tutafanya kazi kwa bidii na kasi ya ajabu.

1. Ichwampaka
2.
 
Please hakikisha unapost kitu cha ukweli. Mfano serikali imejenga vituo vya afya 352, imekarabati shule kongwe, kuna barabara zinajengwa sehemu mbali mbali za Tanzania, kama kigoma, makete, ludewa, mbambabay, sumbawanga huko, dar.


Haya twende kazi na mapicha.
FB_IMG_1553086271455.jpeg
 
1078896
1078897


Hii Ni Shule Ya Msingi Mwamashimba, Iloyopo Kata Ya Ushokola wilaya Kaliua Mkoa Wa Tabora. Shule Hii Ina Chumba Kimoja Tu Cha Kudumu Na Chumba Hicho Kinatumiwa Na Wanafunzi Wa Darasa La Saba, Huku Darasa La Kwanza Mpaka La Sita Wanasomea Kwenye Madarasa Ya Nyasi
 
Kuna vingine ni vipya mkuu
Hivyo vyote alivyofanya anamalizia vya kikwete sema yeye kasimamia tuu ni kipi alicho ahidi ambacho kilikuwa hakijapitisha na bajeti ya bunge tofauti na uwanja ule wa ndege kule chato
 
Kujenga Airport Chato
Kununua Korosho kwa bei ya elfu tatu kwenda juu
Kuongeza mishahara ya wafanyakazi
 
Back
Top Bottom