Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tazara flyover
FB_IMG_1556039552295.jpeg
 
Kupika gongo ruksa
kuvuta bangi ruksa
upoteaji wa watu
2.4 Tillion
manunuzi ya wabunge na madiwan
😂😂😂😂 kwahiyo wamekaa wakashauriana wapike gongo wanywe(pombe), baada ya hapo wakavuta bange ya kushato baada ya hapo wakaamua kuwapoteza/ kuwatia lock(kufuli) watu baada ya hapo wakaenda kuiba 2.4Tril ili wanunue wabunge na madiwani wa upinzani.
Director wa hii movie ni noma aseee....😂😂😂😂
Jamani tuvute lakini wasituone🙈🙈🙈🙈🙈🙈
 
View attachment 1078896View attachment 1078897

Hii Ni Shule Ya Msingi Mwamashimba, Iloyopo Kata Ya Ushokola wilaya Kaliua Mkoa Wa Tabora. Shule Hii Ina Chumba Kimoja Tu Cha Kudumu Na Chumba Hicho Kinatumiwa Na Wanafunzi Wa Darasa La Saba, Huku Darasa La Kwanza Mpaka La Sita Wanasomea Kwenye Madarasa Ya Nyasi
Kama zile tuition za mikoroshini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuifilisi mifuko ya jamiii,Nssf ,Psssf hadi sasa ukienda kudai mafao yako wanakuchekelea tu,serikali imekomba hela zote na haijarudisha hadi sasa
 
Back
Top Bottom