Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ni kweli rais wetu hajui kuuma maneno, anasema tunajenga miradi ya maendeleo kwa fedha zetu wenyewe huku deni la taifa limekuwa kwa 20t+ ndani ya miaka minne. Rais wetu anasema akimaliza uhakiki wa vyeti fake atapandisha mishahara, saa hii anasema atapandisha kabla ya kutoka madarakani!
Zile mbwembwe alizoanza nazo saa hii kafika mahali ndio anaujua ukweli huku ameshalikoroga. Simply bundle limekata.
Zile mbwembwe alizoanza nazo saa hii kafika mahali ndio anaujua ukweli huku ameshalikoroga. Simply bundle limekata.