Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wewe binafsi unaenda mwanza unarudi, majority waliotoa pesa zao hawaifaidi. Serikali inayotoa huduma inayowanufaisha watu wachache at expenses of others ni gansger government.

Wewe unafurahia kwenda mwanza na kurudi huku watu hawana madawa wala vipimo, kipimo cha dengue tu ni tatizo wewe unafurahia kupanda ndege ambayo imenunuliwa na watu ambao hata hela ya panado hawana. Huo ni utaahira.
Nami ni mlipa kodi na raia wa nchi hii nina haki ya kusifia na kufaidi ATC
 
Sio kila anayekusifia anakutakia mema!! Mwingine anakung'ong'a kisogoni
 
Tunamzungumzia mtu ambaye kwa nafasi aliyokuwa nayo ya uwaziri wa ujenzi amefanikiwa kutembelea Tanzania nzima wilaya zote.Anajua kila kitu kuhusu jiografia ya mikoa yote.ana takwimu nyingi sana za urefu wa barabara,kiasi cha rasilimali, shughuli za kiuchumi n.k
Mtu wa namna hii Mara nyingi kichwani kwake yupo serious na Jambo moja hataki afe kabla ndoto ya kuibadilisha Tanzania haijatimia.nadhani tusiwe wanafki kama Kuna sifa tunapaswa kuisifia Magufuli Ni genius.
 
Tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Kwani mkopo sio fedha zetu.? Ukikopa benki ujajenga nyumba hiyo nyumba unakuwa umejenga wewe au imejenga benki. Kuna tofauti ya msaada na mkopo ambao unaulipa.

Je wajua tofauti ya pale serikali inaposema itafanya mradi kwa pesa zake na kufanya mradi kwa pesa za mkopo?
Machizi ni wengi sana
 
Ndio lakini mkuu kuwa na malengo ni suala zuri mno
Hata mi naamini anamalengo

Lakini tatizo anayatimizaje? Hapo ndio anatakiwa awe makini zaidi

Uchumi sio kitu cha lelemama, Uchumi hauna kona kona lazima utembee kwenye njia zake
 
SHUPAVU wa Nyoko

Majibu kama haya na matusi kama haya kwa watanzania wenzako si sawa.. hivi huwezi kuchangia bila kutukana?

OK, umetukana, faida gani umepata?

Tujifunze kuheshimu maoni ya wengine, ina inapokuwa tofauti, kosoa pasipo kutukana.
 
Ndio lakini mkuu kuwa na malengo ni suala zuri mno
Hata mi naamini anamalengo

Lakini tatizo anayatimizaje? Hapo ndio anatakiwa awe makini zaidi

Uchumi sio kitu cha lelemama, Uchumi hauna kona kona lazima utembee kwenye njia zake

kwani kinachofanyika siyo sehemu ya malengo ya kuinua uchumi?

Hiyo miradi ya umeme na SGR na mingineyo Siyo yenye malengo ya kuinua uchumi.???

Mbona tunapenda kulalamika bila kufikiria? Tusilishwe maneno, tufikilie kwanza.
 
Sio kila anayekusifia anakutakia mema!! Mwingine anakung'ong'a kisogoni
In whatever succumstances ,stay postive.
Ukiwanza kila sifa ni ya kinafiki, utapata tabu sana hapa duniani.

Stand in what you believe and keep going
 
Katibu mkuu kiongozi naye ni part ya matatizo, mheshimiwa Raisi wetu mpendwa Dr. Magufuli naye usimuache is part of the major problem of poor work performance of government institutions. Please deal with him.
Tbt
 
Pamoja na jitihada 8 nyingi za Rais wetu Magufuli anazofanya ndani ya Nchi hii lakini bado kuna kikundi cha watu wachache kinabeza hizi jitihada.

Tumeshuhudia kwa mara ya kwanza Tanzania vigogo wote wa Rushwa kubwa wanapelekwa Mahakamani.

Tumeshuhudia kwa mara ya kwanza ile Mikataba yote mibovu ikifumuliwa upya,Madini, Bandari ya Bagamoyo na mingine.

Shirika la Reli lilikufa kabisa lakini sasa hivi limefufuliwa upya na kujengwa Reli kwa kiwango cha SGR

Tumeibiwa kwenye Umeme na mikataba mibovu na viongozi ambao sio waaminifu kupitia hizi(Power Plants)leo hii tunajenga mradi kubwa wa Stiegles Rufiji ambao utakuwa muarobaini wa Umeme Nchini.(MEGAWATI 2015.)

Nidhamu Serikalini imerudi kwa kiwango cha SGR

Muswada unaandaliwa mwaka huu kila Mtanzania awe na Bima ya afya

Na mengine mengi tu lakini pamoja na haya yote bado kuna kikundi kazi yake kubwa ni kutukana na kubeza hiji jitihada kubwa

Mh Rais Magufuli watanzania 90% wanatambua jitihada na Uzalendo wako uliotukuka katika kuwatumikia Wananchi wa Taifa hili

JPM KIOO TUELEKEACHO
Alex Fredrick
 
Mnatenda dhambi kubwa Sana kumdanganya huyo bwana,.mwambieni ukweli halisi ili muitendee haki jamii yenu na vizazi vyenu.kuweni wakweli nyie watu.humu hampati faida yoyote kuleta propaganda mfu Kama hizi.yani unasoma maandishi ukilinganisha na Hali halisi ni vitu haviendani kabisa.unafiki wenu unamsaidia Nini mama Tanzania?Acheni ujinga bwana mnajaza watu hasira tu.
 
Umefilisika kichwani we taahira. Taja hao mafisadi waliopelekwa mahakamani. Taja na hiyo mikataba iliyobunjwa.
 
Back
Top Bottom