Nipo hapa Ujiji Bar mjini Masvingo. Mbona hawa wazimbabwe wanamsifia Magufuli na Kagame kama marais bora Africa kwa sasa?Ila mwenzio kaambiwa ukweli na Mmalawi na Mnamibia wa kusadikika, si ndio?
"Hongera baba yetu kwa kutununulia chakula" walisikika watoto wakifagilia wajibu wa msingi kabisa wa mzazi wao.Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwapatia magari maafisa elimu wa mikoa. Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya elimu yetu hapa Tanzania big up.
wanafunzi wengi tunafaidika na mikopo sema kitu kimoja urasimu bado upo lkn ningumu kuzibiti kila kitu miladi mingi sana anatengeneza lkn baadhi ya watendaji wake wanamwangusha hawatimizi matakwa anayohitaji mh. rais hivyo anatakiwa awajibishe kisawasawa mfano morogoro maji hakuna lkn ukiangalia maji ktk mkoa wa morogoro umezungukwa na maji tatizo siasa zimetawala kupita matendo ya kuwafanyia wananchi

tatizo gani umeliona ? lilekemishe ili lisijirudieHili tatizo
Siyo siri, lazima niwe mkweli Mheshimiwa Maghufuli, nilikuwa nampenda sana wakati akiwa WAZIRI( Wizara mbalimbali).Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...