Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Utalii wa kisiasa ndio utalii wa aina gani? Kula kodi za wananchi?
 
Magufuli ni Tishio kwa Africa hata huko kwingineno wanamsikia. Mungu amutunze sana huyu jamaa. Maadui hawezi kosekana katika jema.
 
Mimi pia, mmarekani mmoja aliniambia mchana wa Leo. kua Trump anataka kuja kujifunza kwa magufuli uongozi Bora na utawala wa kisheria hivi karibuni😂😂😂😂.Tumepoteaaaaaaaa
 
Lisu huyo ! Huyo yupo nyuma ako 😂 😂😂!Cheki alivyo shituka kudadeki muoga huyo
 
Hongera serikali kwa hilo, ila kwa maoni yangu haya magari hayana impacts zozote katika elimu wakati Mwalimu ambaye ni mtekelezaji namba moja hana hata baiskel. Maafisa Elimu hawaingii darasani wala hawana ushirika wowote na wanafunzi ambao ndiyo hulengwa kupewa Elimu kwa ajili ya Taifa, Serikali imewapuuza sana walimu jambo ambalo bado sijawahi kujua kwanini. Walimu walipaswa kusaidiwa usafiri hata baiskeli au pikipiki walau waweze kufika mapema vituoni ili kufanya kazi lakini Serikali inatoa magari kwa Maafisa Elimu amboa anaweza kufika shuleni mara moja kwa Mwaka. Maafisa Elimu waliowengi haswa wa mikoa (REO) hupewa marupuru walau na mshahara wa haja, kazi kubwa ni kuwatisha walimu bila kujua hawa walimu wanapitia magumu yapi. Mimi kama mzazi na mdau wa Elimu ningeshauri serikali igeukie na iwatazame walimu upya . Walimu wana changamoto nyingi mfn
1) Mshahara mdogo sana
2)Ukosefu makaazi, hicho kimshahara kidogo ndicho hulipia pango
3)Hicho kimshahara kidogo ndicho hutumia kwa ajili ya usafiri wa kwenda shule kila siku
4)Makato yasiyokuwa na maana kama hayo ya vyama (CWT)
5)Chamgamoto za kinidhamu za watoto ambazo zimechgizwa na siasa
6)Uhaba wa zana za kufndishia
7) Wingi wa wanafunzi kuzidi nguvu ya Mwalimu (kuna shule Mkoa fulani nimesahau jina nilikuwa natazama kwenye UTV azam-darasa lina watoto 700 haya ni masihara, walimu walisema siku nyingine huishia kutuliza tu kelele.
Imefanya vyema kuwapa usafiri hawa Maafisa Elimu ila sidhani kama italeta mpact kubwa huku Mwalimu anayepaswa kuwasili mapema shuleni ili aanze kazi ya malezi na ufundishaji akitembea kwa mguu ma kilomita kadhaa kuelekea shuleni.
 
Maafisa elimu mkoa hawana kazi kabisa,kuwapa land cruiser ni wastage of resources.
Afisa Elimu mkoa wa Iringa juzi kati aliwaambia walimu watazeekea jela wasipo itetea ccm kwasababu inawalipa mishahara;Kama ndio wanapewa wawe makada wa ccm,Hao hawana ushawishi kabisa.Mmecheza garasha
 
Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwapatia magari maafisa elimu wa mikoa. Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya elimu yetu hapa Tanzania big up.
"Hongera baba yetu kwa kutununulia chakula" walisikika watoto wakifagilia wajibu wa msingi kabisa wa mzazi wao.
 
MY (2).jpg
 
Unajifunza kupost jamiiforums halafu kuingia tu ushapost utumbo ulizani Hapa facebook nini Hapa si pakuuzia sura we msukule mpya wa lumumba.
 
wanafunzi wengi tunafaidika na mikopo sema kitu kimoja urasimu bado upo lkn ningumu kuzibiti kila kitu miladi mingi sana anatengeneza lkn baadhi ya watendaji wake wanamwangusha hawatimizi matakwa anayohitaji mh. rais hivyo anatakiwa awajibishe kisawasawa mfano morogoro maji hakuna lkn ukiangalia maji ktk mkoa wa morogoro umezungukwa na maji tatizo siasa zimetawala kupita matendo ya kuwafanyia wananchi
 
wanafunzi wengi tunafaidika na mikopo sema kitu kimoja urasimu bado upo lkn ningumu kuzibiti kila kitu miladi mingi sana anatengeneza lkn baadhi ya watendaji wake wanamwangusha hawatimizi matakwa anayohitaji mh. rais hivyo anatakiwa awajibishe kisawasawa mfano morogoro maji hakuna lkn ukiangalia maji ktk mkoa wa morogoro umezungukwa na maji tatizo siasa zimetawala kupita matendo ya kuwafanyia wananchi

Hebu weka mkazo katika kujifunza kuandika kama inavyopaswa ili uimbe mapambio vizuri.
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
Siyo siri, lazima niwe mkweli Mheshimiwa Maghufuli, nilikuwa nampenda sana wakati akiwa WAZIRI( Wizara mbalimbali).

Sikumpenda kabisa kuanzia alipoteuliwa kuwa mgombea Wa CCM mpaka kipindi chote cha KAMPENI.

Alipoooanza kazi akiwa Rais, nasema kweli niligeuka kuwa kinyonga yaani Mara namkubali Mara simkubali.

Lkn kadiri muda unavyokwenda jamani niwe Mkweli hatua kwa hatua, siyo siri tena hivi sasa kila analolifanya na kulisimamia sioni cha kumpinga au kukosoa naona yuko sawa.

Nashawishika aende kila eneo apambane kila eneo ni bingwa Wa kutatua panapokwama.

Wengine tubadirike kila MTU popote alipo tutasonga mbele tu.


Mm ni Mpenzi Wa soka eneo dogo tu! Uwanja Wa Taifa viongozi wabadirike tuione pesa halali inayoingia pale.
 
Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania ni miongoni mwa watu wachache wenye akili zaidi walio wahi kuishi Duniani mara nyingi watu wenye misimamo mikali isiyotikisika na kuyumbishwa huwa ni nadra sana kupatikana katika jamii na hata waliopo huwa hawapewi nafasi za uongozi kulingana na misimamo yao mikali inayoogopeka na Watu wasio na maadili
 
Back
Top Bottom