Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

..nasikia jimbo lake linanyemelewa na Mh.Angela Kairuki.

..na wananchi wa same huwa hawaangalii gender ya mgombea.

..tayari wana rekodi ya kuchagua kinamama kama walivyomchagua Gladness Mziray mwaka 1995.
 
Ameonyesha uelewa wake ni chini sana
Aendelee kujinadi time will tell!
 
..nasikia jimbo lake linanyemelewa na Mh.Angela Kairuki.

..na wananchi wa same huwa hawaangalii gender ya mgombea.

..tayari wana rekodi ya kuchagua kinamama kama walivyomchagua Gladness Mziray mwaka 1995.
Kumbe......afadhali aje Anjela bhana!
 
Wabunge wa ccm siku hizi wanayo kazi moja tu: kumhami rais! Siyo serikali ya chama chao ndiyo inayofanya hayo yote mazuri bali ni mtu mmoja! Ushauri wa rais mstaafu wa kutaka chama ndicho kitukuzwe umegonga mwamba!
 
Mbunge wa Same ameweza ku sujudu juhudi za mtukifu jiwe.
 
Kwa Angela Hatoboi huyo
Hata akijifanya anapamba na kuweka icing sugar watapita nae
 
Wakati tuna msema vibaya na kumtukana siku isio kuwa na jina atavikwa nishani ya utumishi wa juu ulio tukuka na majeshi ya ulinzi na usalama pamoja na serikali yote maana hakuwahi kutokea na hatujuwi atatokea lini Rais kama huyu. Mm nina miaka 37 kiukweli huyu Rais sio wakawaida nilitamani kama baba yangu angekuwa hai aone haya ninayaona.
Watu wajinga na wapumbavu majiz na mazandiki wanachafuwa jina la taigfa hili kwa masilahi binafsi ila mimi nasema huyu rais sio wakwaida .

Rais alie gusa mfumo mzima wa maisha ya watu na watanzania wamemuelewa wanaona faida na thamani ya kodi yao kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili sii kwamba hatukuona taala zingine ila this time Magufuli ccm ametosha.
Namuombea maisha marefu na dunia siku moja itasimama kwa ajili yake maana hata dunian hawajawai ona kiongoz shupavu na mwenye uzalendo tena ngoz nyeusi.
 

Tunajua hiyo nishani pia ni ya watu kama museveni,kagame,al bashir,and co.kwa hiyo tumpe hongera.
 
wapenda demokrasia (ufipaz) watakutukana na kukufanya kuwa hukutakiwa kuwa huru kutoa maoni yako....
wakimaliza msuba watakuja kama mbogo..
wavumilie tu mkuu.....
 
ningeisoma hili bandiko nikiwa nje ya nchi ningetamani kurudi nyumbani lkn kwakuwa niko hapa Kwaedi Kwazu wilayani Handeni
sina budi kuamini kuwa eitha uko kazini au unasifia kwa maslahi yako
mi nisiwe mnafki sioni cha zaidi kama ni hizo ndege hazimsaidii babu wala bibi yangu juzi nilimpeleka hospital pale teule hata dawa za athma nimeambiwa nikanunue
acheni kusifu vitu ambavyo havipo mtapata dhambi bure
 

Ni sawa kutokana na akili yako na uelewa wako. Inawezekana pia kuwa maana ya dunia kwako ni chato au kolomije.
 
Kumbe ni wasaidizi wake wanarudi kutoa shukrani za kupewa ulaji! Basi sawa maana hata lile azimio la pongezi kule bungeni limepita kwa Ndiyoooooooo
 
Ukisikia kuwatukana wazee wetu wastaafu ndiyo huko.
Ina maana hakuna chochote walio kifanya tangu tunapata uhuru hadi sasa?

Mkishajaza matumbo yenu mnaanza kuwatukana viongozi wetu wastaafu
 
Hata Mobutu Sese Seko wa Zaire aliwahi kuvikwa nishani ya namna hii enzi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…