BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kubwa la majizi.
www.jamiiforums.com
Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)
Huyu Ndiye Pombe Magufuli: - Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe - Apuuza maonyo ya wataalamu- Mafaili ya Sundi na Musa aliyabeba kwapani ALIYEKUWA Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, katika Serikali ya awamu ya tatu, aliteka madaraka na kuwa mwenyekiti wa zoezi la kuuza nyumba za...
Wakati tuna msema vibaya na kumtukana siku isio kuwa na jina atavikwa nishani ya utumishi wa juu ulio tukuka na majeshi ya ulinzi na usalama pamoja na serikali yote maana hakuwahi kutokea na hatujuwi atatokea lini Rais kama huyu. Mm nina miaka 37 kiukweli huyu Rais sio wakawaida nilitamani kama baba yangu angekuwa hai aone haya ninayaona.
Watu wajinga na wapumbavu majiz na mazandiki wanachafuwa jina la taigfa hili kwa masilahi binafsi ila mimi nasema huyu rais sio wakwaida .
Rais alie gusa mfumo mzima wa maisha ya watu na watanzania wamemuelewa wanaona faida na thamani ya kodi yao kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili sii kwamba hatukuona taala zingine ila this time Magufuli ccm ametosha.
Namuombea maisha marefu na dunia siku moja itasimama kwa ajili yake maana hata dunian hawajawai ona kiongoz shupavu na mwenye uzalendo tena ngoz nyeusi.