Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakwama sana ndiyo maana ATClL hataki CAG ajue mahesabu take maana mkiyajua mtalia.Alipotangaza tu Vita na Wadau wa Madini hapo ndipo alipoanza kuonekana si lolote na ni Raisi dikteta!
Muendelezo wa kusemwa na kutamkwa hasa kwa mabaya kulitamalaki.
Lakini swali ni je kwanini huyo jamaa hakwami pamoja na shutuma na kelele nyingi namna ile!?
Kwa nini kila jaribu kwa asilimia kubwa amekuwa akishinda!?
Ni kweli Mwenyezi Mungu amekuwa hayaoni makosa ya Magufuli 'kama kweli ni mkosefu'kama tunavyoaminishwa na wapinzani wake!?
Au si kweli kwamba ni 'mkosefu' na ndiyo maana Mwenyezi Mungu amekuwa daima upande wake na kuwapuuza wakosoaji wake!?
Kwanini,kwanini!?
Nisaidie!
Kuhamia Dodoma ni nje ya mada ndugu.Baada ya kulipa Deni,hata ya Canada
Sio Mkwamo ule
Barrick ?
Makinikia ?
By the way,alisema atahamia Dodoma before end of 2018, what is the status ?
Kakwamishwa na Nani ?
Lete Mwingine
Alipotangaza tu Vita na Wadau wa Madini hapo ndipo alipoanza kuonekana si lolote na ni Raisi dikteta!
Muendelezo wa kusemwa na kutamkwa hasa kwa mabaya kulitamalaki.
Lakini swali ni je kwanini huyo jamaa hakwami pamoja na shutuma na kelele nyingi namna ile!?
Kwa nini kila jaribu kwa asilimia kubwa amekuwa akishinda!?
Ni kweli Mwenyezi Mungu amekuwa hayaoni makosa ya Magufuli 'kama kweli ni mkosefu'kama tunavyoaminishwa na wapinzani wake!?
Au si kweli kwamba ni 'mkosefu' na ndiyo maana Mwenyezi Mungu amekuwa daima upande wake na kuwapuuza wakosoaji wake!?
Kwanini,kwanini!?
Nisaidie!
Huko ndiyo kukwama kwenyewe. Mtu azure kitu chake kwaajili hujalipa deni ndiyo kukwama na aibu kubwa.Vipi kuwahusu Barrick?
Ulishawahi kuishi Nchi za kidikteta!?Wakati mwingine mnasifia mambo ya kipuuzi mpaka mnaonekana majuha. Pitia humu jukwaani kuna uzi unaozungumzia sifa za madictator, kisha ulete mrejesho wa hiki unachokifanya hapa.
Think big,usiwe na akili za SamakiKuhamia Dodoma ni nje ya mada ndugu.
Mimi nimeshafika Sudan na Rwanda, what's your point ?Ulishawahi kuishi Nchi za kidikteta!?
Mfano,ulishawahi kufika japo Sudan au Rwanda?
Ulishawahi kuishi Nchi za kidikteta!?
Mfano,ulishawahi kufika japo Sudan au Rwanda?
Wewe huwezi kupewa?
Rais Magufuli ameu master sasa urais. Ni kwa kauli zake na hotuba zake anapopata kuhutubia umma wa Tanzania.
Mwanzoni mwa urais wake hotuba zake hazikumivutia sana. Kwasababu zilikuwa na mrengo wa kichama kuliko wa kitaifa.
Siku hizi amekomaa kweli kweli kama kiongozi wa kitaifa.
Siku hizi amekuwa kiongozi wa kitaifa kuliko wa chama.
Ameonyesha pia msimamo wake wa kuwa siku zikifika ataondoka na hizo ndege zitabaki kuhudumia umma yeye akiwa rai mwema.
Mizuka ya kichama inazidi kupungua kichwani mwake.
Kawa kibaraka bila kumtegemea aiseeeAisee pascal kama kuna mwanafamilia wako huwa anapita humu kusoma comments na bandiko zako sijui wanakuchukuliaje!