Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kubwa la majizi.

Wakati tuna msema vibaya na kumtukana siku isio kuwa na jina atavikwa nishani ya utumishi wa juu ulio tukuka na majeshi ya ulinzi na usalama pamoja na serikali yote maana hakuwahi kutokea na hatujuwi atatokea lini Rais kama huyu. Mm nina miaka 37 kiukweli huyu Rais sio wakawaida nilitamani kama baba yangu angekuwa hai aone haya ninayaona.
Watu wajinga na wapumbavu majiz na mazandiki wanachafuwa jina la taigfa hili kwa masilahi binafsi ila mimi nasema huyu rais sio wakwaida .

Rais alie gusa mfumo mzima wa maisha ya watu na watanzania wamemuelewa wanaona faida na thamani ya kodi yao kwa mara ya kwanza ktk historia ya taifa hili sii kwamba hatukuona taala zingine ila this time Magufuli ccm ametosha.
Namuombea maisha marefu na dunia siku moja itasimama kwa ajili yake maana hata dunian hawajawai ona kiongoz shupavu na mwenye uzalendo tena ngoz nyeusi.
 
Oh yeah!

One of Jiwe’s mistresses!
 
Baabda ya awamu kuingia madarakani na kuanzia kusafisha nchi kwa kuwatumbua baadhi ya viongozi na kuwaweka ndani mafisadi huku huduma muhimu Kama afya,shule,maji,miundo mbinu no zikiwa zinaboreshwa kwa Kasi Sana na nidhamu ya watumishi wa umma ikiwa inarudi ktk viwango vya juu kabisa Kuna baadhi watu wanalalamika Sana juu ya utawala wa Dr Magufuli.

Tumekuja kugundua kuwa wengi wanaopiga kelele ni wale ambao walikuwa wanafaidi matunda ya uhuru kwa kufuja Mali ya umma bila kujali masikini

Sasa mirija yote imefungwa na Rais Magufuli na hakuna tena pa kupata raha zile walizokuwa wanapata ndiyo maana wanalalamika na wengine hata kumtolea maneno machafu.

Kwa taarifa ni kwamba Kasi hiyo haitarudi nyuma hata dakika moja na mirija itaendekea kufungwa kwa yoyote aliyekuwa anafaidi matunda ya Uhuru kwa unyonyaji.
 
magufuli ni rais bora kuliko wote tuliowahi kupata.. baada ya nyerere
 
Walimu wanalia,manesi wanalia,mgambo wanalia,mama lishe wanalia,makarani wanalia.Hata wakulima nao wanalia nk.Sasa hao nao walikuwa wanafuja mali zipi?Ni vema kujitahidi kushirikisha mbongo zetu badala ya kubisha kwa kutumia kiuno.
 
Alipotangaza tu Vita na Wadau wa Madini hapo ndipo alipoanza kuonekana si lolote na ni Raisi dikteta!

Muendelezo wa kusemwa na kutamkwa hasa kwa mabaya kulitamalaki.

Lakini swali ni je kwanini huyo jamaa hakwami pamoja na shutuma na kelele nyingi namna ile!?

Kwa nini kila jaribu kwa asilimia kubwa amekuwa akishinda!?

Ni kweli Mwenyezi Mungu amekuwa hayaoni makosa ya Magufuli 'kama kweli ni mkosefu'kama tunavyoaminishwa na wapinzani wake!?

Au si kweli kwamba ni 'mkosefu' na ndiyo maana Mwenyezi Mungu amekuwa daima upande wake na kuwapuuza wakosoaji wake!?

Kwanini,kwanini!?

Nisaidie!
 
Dikiteita huwa hakwami! Anawavuruga wote ndani, ila akiwashika "mabeberu" PUMBU hapo atakwama!
 
Mkuu huu uzi wako wa kumsema vizuri mheshimiwa rais wetu hautapata wachangiaji wengi kwani yawezekana vijana wengi wameshakula buku kumi zao ili kumuandika rais wetu vibaya

Bisnesi azi yusho
Alipotangaza tu Vita na Wadau wa Madini hapo ndipo alipoanza kuonekana si lolote na ni Raisi dikteta!

Muendelezo wa kusemwa na kutamkwa hasa kwa mabaya kulitamalaki.

Lakini swali ni je kwanini huyo jamaa hakwami pamoja na shutuma na kelele nyingi namna ile!?

Kwa nini kila jaribu kwa asilimia kubwa amekuwa akishinda!?

Ni kweli Mwenyezi Mungu amekuwa hayaoni makosa ya Magufuli 'kama kweli ni mkosefu'kama tunavyoaminishwa na wapinzani wake!?

Au si kweli kwamba ni 'mkosefu' na ndiyo maana Mwenyezi Mungu amekuwa daima upande wake na kuwapuuza wakosoaji wake!?

Kwanini,kwanini!?

Nisaidie!
 
Alipotangaza tu Vita na Wadau wa Madini hapo ndipo alipoanza kuonekana si lolote na ni Raisi dikteta!

Muendelezo wa kusemwa na kutamkwa hasa kwa mabaya kulitamalaki.

Lakini swali ni je kwanini huyo jamaa hakwami pamoja na shutuma na kelele nyingi namna ile!?

Kwa nini kila jaribu kwa asilimia kubwa amekuwa akishinda!?

Ni kweli Mwenyezi Mungu amekuwa hayaoni makosa ya Magufuli 'kama kweli ni mkosefu'kama tunavyoaminishwa na wapinzani wake!?

Au si kweli kwamba ni 'mkosefu' na ndiyo maana Mwenyezi Mungu amekuwa daima upande wake na kuwapuuza wakosoaji wake!?

Kwanini,kwanini!?

Nisaidie!
Unaweza uka Quantify Mikwamo aliyosababishiwa na kuikwamua ?
 
Mfano,rejea ndege ilivyozuiliwa huko SA;alijikwamua!
Baada ya kulipa Deni,hata ya Canada
Sio Mkwamo ule
Barrick ?
Makinikia ?
By the way,alisema atahamia Dodoma before end of 2018, what is the status ?
Kakwamishwa na Nani ?
Lete Mwingine
 
Vipi kuwahusu Barrick?

Wakati mwingine mnasifia mambo ya kipuuzi mpaka mnaonekana majuha. Pitia humu jukwaani kuna uzi unaozungumzia sifa za madictator, kisha ulete mrejesho wa hiki unachokifanya hapa.
 
Magufuli anamaono makubwa wanaojaribu kumkwamisha ni wale mafisadi na wauza ngada

Ila wanafeli
 
Back
Top Bottom