Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Really??Leo umempongongeza rais kikwete na ukiwa katika ziara yako luala na kufanya Tanzania kuwa nchi ya kupokezana na ndioaana ulisikia shangwe
Wewe kujishusha na kusema ulikwa waziri uliyetumwa imeonesha kuwa wewe sio mpenda sifa na uko tayari kwa lolote
Mh rais kitendo cha wewe kusema kuwa waliokutangulia walifanya ya maaana kimekujengea hadhi na mpaka sasa kila rais aliyekutangulia anakupenda kuanzia mwinyi hadi kikwete Mungu akubariki
Kumkataa miradi mingi kuwa na jina lako japo umeianzisha ww ni kuonesha kuwa wewe ni MTU usiyependa sifa na zaidi bado unajina la kutukuzwa
Mungu akulinda
Leo umempongongeza rais kikwete na ukiwa katika ziara yako luala na kufanya Tanzania kuwa nchi ya kupokezana na ndioaana ulisikia shangwe

Mtakua.mmefika.mwaka 1950 bado mnatafuta uhuru.Kwa hii kasi 2035 tutakuwa mbali sanaaa
Mkuu uvccm wameharibu sana jukwaa! Yaani kazi imekuwa propaganda za kittoto,kipuuzi.Naona umeleta uzi wa kujibu ule unaosema anawabeza watangulizi wake. Ukweli uko wazi anawabeza, na lengo hasa ni kujikweza ili aonekane yeye ni bora kuliko wao jambo ambalo si kweli
Ndiyo wakome kuwalazimisha vichaa kuwa viongozi waandamizi tena wa nchiKuna Siku atamsema Mkapa kwa kuuza Nyumba za Serikali, tuvute tu subira itokee NHC wana mradi wa kazindua na Mzee awe ndio Mgeni Maalum
Hebu weka kauthibitisho ka audio au video clip akisema hayo mzee baba. Vinginevyo mi najua waliopita wote walikuwa wapigaji tu kwa mujibu wa Mh. Magufuli himselfLeo umempongongeza rais kikwete na ukiwa katika ziara yako luala na kufanya Tanzania kuwa nchi ya kupokezana na ndioaana ulisikia shangwe
Wewe kujishusha na kusema ulikwa waziri uliyetumwa imeonesha kuwa wewe sio mpenda sifa na uko tayari kwa lolote
Mh rais kitendo cha wewe kusema kuwa waliokutangulia walifanya ya maaana kimekujengea hadhi na mpaka sasa kila rais aliyekutangulia anakupenda kuanzia mwinyi hadi kikwete Mungu akubariki
Kumkataa miradi mingi kuwa na jina lako japo umeianzisha ww ni kuonesha kuwa wewe ni MTU usiyependa sifa na zaidi bado unajina la kutukuzwa
Mungu akulinda
Huyu mwehu lazima tumkomalie, ana tingisha kiberiti tu kutupima. Jana tu kaongea utumbo kusema akiondoka yeye hakuna wa kumalizia miradi. Tungekaa kimya angeendelea huyu mwana izaya asiye na haya.Leo umempongongeza rais kikwete na ukiwa katika ziara yako luala na kufanya Tanzania kuwa nchi ya kupokezana na ndioaana ulisikia shangwe
Wewe kujishusha na kusema ulikwa waziri uliyetumwa imeonesha kuwa wewe sio mpenda sifa na uko tayari kwa lolote
Mh rais kitendo cha wewe kusema kuwa waliokutangulia walifanya ya maaana kimekujengea hadhi na mpaka sasa kila rais aliyekutangulia anakupenda kuanzia mwinyi hadi kikwete Mungu akubariki
Kumkataa miradi mingi kuwa na jina lako japo umeianzisha ww ni kuonesha kuwa wewe ni MTU usiyependa sifa na zaidi bado unajina la kutukuzwa
Mungu akulinda
Nyie mnaandika hivyo kwa malipo gani hasa?. Hizo njaa zenu mbaya!! Unamfananisha na nani huyu mbaguzi na muuaji?Mkuu huyu ndie Rais bora Tanzania tumebahatika kumpata. Lakini tambua pia kuwa aliahidi kuwalinda Marais waliomtangulia kwa nguvu zake zoteee.
Umeelewa lakini?Kosa la mtendaji mmoja halimaanishi ndo ubovu wa viongozi wote...think big bro,na makosa kama haya huwa yapo hata ulaya...so usipanic sana
Upumbavu ni kuhalalisha kosa kisa hata ulaya linafanyika,,,Kosa la mtendaji mmoja halimaanishi ndo ubovu wa viongozi wote...think big bro,na makosa kama haya huwa yapo hata ulaya...so usipanic sana
Kama nchi hii madudu yanatambuluka tu, watu wawili wakifanya ziara zao, na ndo wanavumbua ufisadi wa kila aina, kuna haja gani ya kuwa na mawaziri ambao wanazunguka nchi nzima na hawagundui chochote hadi apite Raus au Waziri Mkuu? tulipofikia bora mawaziri wapumzije tu, wameshindwa kazi, let it be, two mens show.
Kwa mfumo huu, nionavyo, inawezekana watu hawana imani na mawaziri wao na hawawapi zile habari nyeti za matatizo waliyo nayo.
Huu mfumo ni mbaya zaidi, kama tumefikia hapo bora hata tusiwe na hao mawaziri ambao wanatumia kodi zetu bure, imefikia wakat ambapi wakuu wa mikoa wanaogopwa kuliko hawa mawaziri, what a country?