Kama nchi hii madudu yanatambuluka tu, watu wawili wakifanya ziara zao, na ndo wanavumbua ufisadi wa kila aina, kuna haja gani ya kuwa na mawaziri ambao wanazunguka nchi nzima na hawagundui chochote hadi apite Raus au Waziri Mkuu? tulipofikia bora mawaziri wapumzije tu, wameshindwa kazi, let it be, two mens show.
Kwa mfumo huu, nionavyo, inawezekana watu hawana imani na mawaziri wao na hawawapi zile habari nyeti za matatizo waliyo nayo.
Huu mfumo ni mbaya zaidi, kama tumefikia hapo bora hata tusiwe na hao mawaziri ambao wanatumia kodi zetu bure, imefikia wakat ambapi wakuu wa mikoa wanaogopwa kuliko hawa mawaziri, what a country?