Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Leo umempongongeza rais kikwete na ukiwa katika ziara yako luala na kufanya Tanzania kuwa nchi ya kupokezana na ndioaana ulisikia shangwe

Wewe kujishusha na kusema ulikwa waziri uliyetumwa imeonesha kuwa wewe sio mpenda sifa na uko tayari kwa lolote

Mh rais kitendo cha wewe kusema kuwa waliokutangulia walifanya ya maaana kimekujengea hadhi na mpaka sasa kila rais aliyekutangulia anakupenda kuanzia mwinyi hadi kikwete Mungu akubariki

Kumkataa miradi mingi kuwa na jina lako japo umeianzisha ww ni kuonesha kuwa wewe ni MTU usiyependa sifa na zaidi bado unajina la kutukuzwa

Mungu akulinda
Really??
 
Kaacha kuwananga kuwa waliiharibu nchi kwa kuhonga nyumba za serikali,kununua vivuko vibovu na kuwapa jwtz,kubomoa sheli za watu, kukamata meli ya wachina na kuitia serikali hasara
 
Leo umempongongeza rais kikwete na ukiwa katika ziara yako luala na kufanya Tanzania kuwa nchi ya kupokezana na ndioaana ulisikia shangwe

Wewe kujishusha na kusema ulikwa waziri uliyetumwa imeonesha kuwa wewe sio mpenda sifa na uko tayari kwa lolote

Mh rais kitendo cha wewe kusema kuwa waliokutangulia walifanya ya maaana kimekujengea hadhi na mpaka sasa kila rais aliyekutangulia anakupenda kuanzia mwinyi hadi kikwete Mungu akubariki

Kumkataa miradi mingi kuwa na jina lako japo umeianzisha ww ni kuonesha kuwa wewe ni MTU usiyependa sifa na zaidi bado unajina la kutukuzwa

Mungu akulinda

Naona umeleta uzi wa kujibu ule unaosema anawabeza watangulizi wake. Ukweli uko wazi anawabeza, na lengo hasa ni kujikweza ili aonekane yeye ni bora kuliko wao jambo ambalo si kweli
 
Mkuu huyu ndie Rais bora Tanzania tumebahatika kumpata. Lakini tambua pia kuwa aliahidi kuwalinda Marais waliomtangulia kwa nguvu zake zoteee.

Kuna Siku atamsema Mkapa kwa kuuza Nyumba za Serikali, tuvute tu subira itokee NHC wana mradi wa kazindua na Mzee awe ndio Mgeni Maalum
 
Kwa hii kasi 2035 tutakuwa mbali sanaaa
Mtakua.mmefika.mwaka 1950 bado mnatafuta uhuru.

Kama Rais anauhuru wa kumtukana mwananchi kwa sababu tuu mbunge wake ni chadema basi Tanzania imekufa.
 
Naona umeleta uzi wa kujibu ule unaosema anawabeza watangulizi wake. Ukweli uko wazi anawabeza, na lengo hasa ni kujikweza ili aonekane yeye ni bora kuliko wao jambo ambalo si kweli
Mkuu uvccm wameharibu sana jukwaa! Yaani kazi imekuwa propaganda za kittoto,kipuuzi.

Hivi nani hajasikia juzi kuhusu walivyonangwa viongozi watangulizi akiwemo Nyerere!
Na hilo linafanywa na CCM kwa ujumla, utadhani nchi iliwahi kutawaliwa na chama kingine.

Kinachoudhi ni kumkashfu Nyerere! huyu alichukua nchi akaifikisha hapo ilipo, leo anatukanwa na CCM ile ile. Inasikitisha sana
 
Kuna Siku atamsema Mkapa kwa kuuza Nyumba za Serikali, tuvute tu subira itokee NHC wana mradi wa kazindua na Mzee awe ndio Mgeni Maalum
Ndiyo wakome kuwalazimisha vichaa kuwa viongozi waandamizi tena wa nchi
 
Leo umempongongeza rais kikwete na ukiwa katika ziara yako luala na kufanya Tanzania kuwa nchi ya kupokezana na ndioaana ulisikia shangwe

Wewe kujishusha na kusema ulikwa waziri uliyetumwa imeonesha kuwa wewe sio mpenda sifa na uko tayari kwa lolote

Mh rais kitendo cha wewe kusema kuwa waliokutangulia walifanya ya maaana kimekujengea hadhi na mpaka sasa kila rais aliyekutangulia anakupenda kuanzia mwinyi hadi kikwete Mungu akubariki

Kumkataa miradi mingi kuwa na jina lako japo umeianzisha ww ni kuonesha kuwa wewe ni MTU usiyependa sifa na zaidi bado unajina la kutukuzwa

Mungu akulinda
Hebu weka kauthibitisho ka audio au video clip akisema hayo mzee baba. Vinginevyo mi najua waliopita wote walikuwa wapigaji tu kwa mujibu wa Mh. Magufuli himself
 
Leo umempongongeza rais kikwete na ukiwa katika ziara yako luala na kufanya Tanzania kuwa nchi ya kupokezana na ndioaana ulisikia shangwe

Wewe kujishusha na kusema ulikwa waziri uliyetumwa imeonesha kuwa wewe sio mpenda sifa na uko tayari kwa lolote

Mh rais kitendo cha wewe kusema kuwa waliokutangulia walifanya ya maaana kimekujengea hadhi na mpaka sasa kila rais aliyekutangulia anakupenda kuanzia mwinyi hadi kikwete Mungu akubariki

Kumkataa miradi mingi kuwa na jina lako japo umeianzisha ww ni kuonesha kuwa wewe ni MTU usiyependa sifa na zaidi bado unajina la kutukuzwa

Mungu akulinda
Huyu mwehu lazima tumkomalie, ana tingisha kiberiti tu kutupima. Jana tu kaongea utumbo kusema akiondoka yeye hakuna wa kumalizia miradi. Tungekaa kimya angeendelea huyu mwana izaya asiye na haya.

Haiwezekani awadharau watangulizi wake, kwa lipi hasa ambalo amefanya??
 
Mkuu huyu ndie Rais bora Tanzania tumebahatika kumpata. Lakini tambua pia kuwa aliahidi kuwalinda Marais waliomtangulia kwa nguvu zake zoteee.
Nyie mnaandika hivyo kwa malipo gani hasa?. Hizo njaa zenu mbaya!! Unamfananisha na nani huyu mbaguzi na muuaji?

Angekuwa mzuri asinge nyamazisha vyombo vya habari. Uwoga wa kukosolewa amelazimisha TV na magezeti yote yamsifie yeye tu.

Hebu afanye vyombo vya habari viwe huru, na vyama vya upinzani vifanye kazi zao kama hatajiona takataka.
 
Kama nchi hii madudu yanatambuluka tu, watu wawili wakifanya ziara zao, na ndo wanavumbua ufisadi wa kila aina, kuna haja gani ya kuwa na mawaziri ambao wanazunguka nchi nzima na hawagundui chochote hadi apite Raus au Waziri Mkuu? tulipofikia bora mawaziri wapumzije tu, wameshindwa kazi, let it be, two mens show.

Kwa mfumo huu, nionavyo, inawezekana watu hawana imani na mawaziri wao na hawawapi zile habari nyeti za matatizo waliyo nayo.

Huu mfumo ni mbaya zaidi, kama tumefikia hapo bora hata tusiwe na hao mawaziri ambao wanatumia kodi zetu bure, imefikia wakat ambapi wakuu wa mikoa wanaogopwa kuliko hawa mawaziri, what a country?
 
MKUU HII NCHI INAELEKEA KUWA YA KIFALME, ITAFIKA HATUA HATA KESI YA KUIBIWA KUKU ITAKWENDA KUSOMWA IKULU
 
Kosa la mtendaji mmoja halimaanishi ndo ubovu wa viongozi wote...think big bro,na makosa kama haya huwa yapo hata ulaya...so usipanic sana
 
Umeelewa lakini?
Mada iliyopo inasema kuhusu mawaziri wa wizara husika wanashindwa vipi kujua ufisadi unaofanyika Kwenye hamlashauri?
Je mpaka waziri Mkuu au raisi afanye ziara?
 
Baada ya Magufuli kuapishwa, aliongoza nchi kwa zaidi ya miezi 2 bila hao mawaziri, na kila kitu kilienda sawa.

Sijui kwanini huwa wapo asee.
 
Naomba niwe tofauti kidogo na wewe mleta mada....binafsi nadhani vyeo vya Ukuu wa Mkoa na Wilaya havifai na havina mantiki kwani ndio wangepaswa kuwajibishwa kwa tuhuma kama hizo.
 
Kama nchi hii madudu yanatambuluka tu, watu wawili wakifanya ziara zao, na ndo wanavumbua ufisadi wa kila aina, kuna haja gani ya kuwa na mawaziri ambao wanazunguka nchi nzima na hawagundui chochote hadi apite Raus au Waziri Mkuu? tulipofikia bora mawaziri wapumzije tu, wameshindwa kazi, let it be, two mens show.

Kwa mfumo huu, nionavyo, inawezekana watu hawana imani na mawaziri wao na hawawapi zile habari nyeti za matatizo waliyo nayo.

Huu mfumo ni mbaya zaidi, kama tumefikia hapo bora hata tusiwe na hao mawaziri ambao wanatumia kodi zetu bure, imefikia wakat ambapi wakuu wa mikoa wanaogopwa kuliko hawa mawaziri, what a country?

Nashukuru kaka kwa kutekeleza ahadi yako bigup. Kichekesho kingine ninachokiona kwenye ziara ya sasa ya rais ni uwepo wa Kabudi. Ninavyojua Kabudi ni waziri wa mambo ya nchi za nje, kwenye hii ziara ya rais ni wapi hizo ziara zinamuhusu, au ni sehemu ya kupatia imprest?
 
Back
Top Bottom