Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijawahi kumsikia anasema 2025 ataondoka.Kwani ameshakubali kutoka 2025?
Ameacha kuwafuata Kagame na Mu7?
Mh!sijawahi kumsikia anasema 2025 ataondoka.
Ila nimewahi kumsikia anasema alijaribu tu kugombea, mambo yakajipa.
so hata 2020 akiachia sitashangaa, ila apewe ubaba mdogo tu hicho ndio kilio changu kila siku
Chid Benz alisema akarabati Magereza ya Segerea. Yaliyomkuta Omar Bashir wa Sudan hatayakwepa.Tunajua Kiti cha Baba wa taifa cha Muda Wote anashikilia Hayati JK Nyerere.
Kwa Heshima ya utumishi wake wenye mema mengi yaliyochanganyikana na mauthi machache ambayo yanathibitisha na yeye sio malaika ni binadamu napendekeza siku raisi mpya anaapishwa 2025 na Yeye Aapishe kama Baba Mdogo wa Taifa.
Naamini 2020 atashinda, hata akiamua kuweka picha tu nchi nzima yeye akaenda chato mapumzikoni wakati wa kampeni.
''msema kweli ni mpenzi wa Mungu''
Yule Omar alikuwa na Bifu na wazungu na wayahudi.Chid Benz alisema akarabati Magereza ya Segerea. Yaliyomkuta Omar Bashir wa Sudan hatayakwepa.
Mpendekeze awe beberu la taifa ili ufurahi zaidi!Tunajua Kiti cha Baba wa taifa cha Muda Wote anashikilia Hayati JK Nyerere.
Kwa Heshima ya utumishi wake wenye mema mengi yaliyochanganyikana na mauthi machache ambayo yanathibitisha na yeye sio malaika ni binadamu napendekeza siku raisi mpya anaapishwa 2025 na Yeye Aapishe kama Baba Mdogo wa Taifa.
Naamini 2020 atashinda, hata akiamua kuweka picha tu nchi nzima yeye akaenda chato mapumzikoni wakati wa kampeni.
''msema kweli ni mpenzi wa Mungu''
hahaha mkuu unahasira na mambo ya kitaifa kuliko hata ubeberu wa mwenyekiti wetu cdmMpendekeze awe beberu la taifa ili ufurahi zaidi!
Tunataka atawale maishaTunajua Kiti cha Baba wa taifa cha Muda Wote anashikilia Hayati JK Nyerere.
Kwa Heshima ya utumishi wake wenye mema mengi yaliyochanganyikana na mauthi machache ambayo yanathibitisha na yeye sio malaika ni binadamu napendekeza siku raisi mpya anaapishwa 2025 na Yeye Aapishe kama Baba Mdogo wa Taifa.
Naamini 2020 atashinda, hata akiamua kuweka picha tu nchi nzima yeye akaenda chato mapumzikoni wakati wa kampeni.
''msema kweli ni mpenzi wa Mungu''
Bashite ndio nani mkuu.Akili ya Bashite hii ..............!!
hahahahAu baba wa kambo
Kama ndio kilio chako mwambie akalale na mama yako automatically atakuwa baba mdogosijawahi kumsikia anasema 2025 ataondoka.
Ila nimewahi kumsikia anasema alijaribu tu kugombea, mambo yakajipa.
so hata 2020 akiachia sitashangaa, ila apewe ubaba mdogo tu hicho ndio kilio changu kila siku
aisee...Kama ndio kilio chako mwambie akalale na mama yako automatically atakuwa baba mdogo
hahahaha kumbe mkuu unataka mkuu wetu aendelee zaidi ya 2025Nmesikitika sana
Kwa heshima yako sitotukana