Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Magufuli kiukweli ana uthubutu na amejaribu bila uoga. Ingawa kama mwanadamu hakosi kasoro zake.

Mwenyekiti wangu naomba sasa upambane kutengeneza mifumo imara na kuipa meno mihimili yote. Ukiweza hili utaacha legacy kubwa kuliko ya physical structures unazopambana kuziweka.

Katiba mpya itapendeza sana
 
Stupid argument!! Madhaifu madogo madogo?? Huyu anavunja katiba aliyoapa kuiheshimu ndiyo unaita mapungufu madogo madogo??
Subirini zamu yenu, yeye siyo wa kwanza kuishi Magogoni, ila Segerea hataikwepa
 
Unataka akwame mara ya ngapi?
 
Majizi makubwa ambao wamezoea kuchezea Serikali kisa tu wao wanapesa zama hizi za Magufuli ndio kiama chao


Baada la zoezi hili la majizi kurudisha pasa za Umma kukamilika muda si mrefu,inakuja kubwa kuliko


Zile pesa ambazo Bunge la kumi walipiga sana kelele kina Ziito,Lissu na Kafulila. Hizi pesa zipo Mara mbili ya kwanza alichukua JR kupitia hisa zake 30% za company ya VIP ambazo ndo aliuza kwa Singa Setti na kugaia watu kama njugu huku akijimwambafy eti ni vijisenti vya UGORO TU


Sasa kuna zile 77 miilion Dollar ambazo zilitolewa kutoka Stanbic Bank na kupelekwa kusikojulikana ambapo tunaambiwa zilibebwa kwenye Sandarusi kwenda kugaiwa kwa Vigogo akiwamo Kiongozi mkubwa wa Chama cha Upinzani



Muda si mrefu Jamhuri itatupasha na kujua wakinanani wa kupelekwa kwenye Mahakama ya Mafisadi pale Ubungo mawasiliano wajibu tuhuma na kurudisha pesa za Umma


Kituo kinachofuata Escrow

Alex Fredrick

Lindi
 
Escrow ni untouchable bro...by the way anashughulika na makosa ya serikali zilizopita kwani yeye hakuwepo?
Binafsi naona ni movie tu wanacheza kuteka watu wenye vision ndogo na kusaka revenue ya serikali kwa nguvu maana hali mbaya uko..kesi za uhujumu uchumi na tozo za makosa ya barabarani ndo vimekuwa vyanzo vipya vya mapato
 
Vita ndo imeanza na inakuja zamu ya viongozi wote wakubwa walioshirikiana na wafanyabiashara kulibia Taifa hili.
 
Wakati huu wa awamu ya Tano wahujumu uchumi,Mafisadi wameumbuliwa na kufrdheheshwa magerezani kama Raia wengine
Awamu iliyopita hatukuwaona wenye uwezo kifedha wakiwa magerezani,yaani fedha zilikuwa zinaongea,wanyonge walikuwa wanauziwa kesi kila kukicha,ilikuwa hatari sana.Wanyonge walikuwa wanateseka magerezani bila yakosa lolote huku wenye makosa wakiwa wanakula maisha mtaani kisa wameuza kesi,waliofikwa na haya ndio watakoona ukweli

Kulikuwepo na IPTL,Escrow,Richmond na huduma mbovu za kijamii,Mshine ya MRI na CT-Scan kutokufanya kazi ktk Hospitali ya Rufaa Muhimbili,wagonjwa walikufa wasiokuwa na fedha,baadhi kuambiwa wakalipie vipimo vya MRI katika Hospitali ya Regence kwa faida ya watu binafsi,kwani mashine ya MRI waliiharibu na kusingizia ni mbovu ili Regence wafaidike,pia barabara zilikuwa mbovu sana
Kiongozi wa awamu ya nne alikuwa anakwenda nchi za ugenini kama mtu anayetoka Dar kwenda Morogoro,kwanini hizo ziara asingezifanya ndani ya nchi yake ili ajue shida za wanyonge

Hayo yote hayakuonekana?
 
Hakuna aliyeumbuliwa ni kuwa utasemea wapi wakati hatuna mahakama!
 
 
Uzi wako haueleweki. Kwani kuwakamata watu tu na kuwaweka rumande bila kesi ndio utendaji uliotukuka? Mbona kina Mramba walifagia vyoo vya hospitali, kina Yona na mpare mwenziye Mgonja!! Nadhani ka ni kuthubutu JK alithubutu zaidi.
Mahakama ya mafisadi ilijengwa bure tu kwani haijamfunga hata mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…