Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hapo utakuta Sera Zao Walizotunza Kama Nondo za Kampeni 2020 Ni zile za Kina Ben sanane,Lissu na Anzory. Hahaha hawataamini Watakavyojinchwa na Wananchi Unamletea Mwananchi wa kule kijijini Tukuyu na kigoma ndanindani kule habari Za Anzory Na Ben utafikiri atakuelewa lini au Hamjui kuwa kundi kubwa la wapiga kura wahafahamu kabisa Kama kuna Akina Ben na Anzory labda T.L ndo wengi Wanamfahamu Ila hao waliobaki Wanafahamika tu huku mitandaoni hasa JF.
Kwahiyo jipeni Sana mda wa kutafakari Sera mtakazotuletea wapiga kura wenu Ila Kama Ni Sera za kutuhubiria Mambo ya mtu binafsi kuliko Mambo ya kitaifa tutakachowafanyia hata kwa mungu itakuwa baraka tele.
 
UUmeU
Mtu atakayetaka kugombea Urais ili kimchallenge Magufuli 2020 anajitakia aibu tu
Maana atapata kura za familia tu

Viva Magufuli
Umenena ukweli Mkuu na atakaekubishia Basi Akutajie Mtu kutoka chama chake atakayeweza kumtikisa hata nusu Rais JPM kwenye uchaguzi wa 2020.

Nasema; kwa vyama vyote vya hapa nchini kuanzia chama tawala( CCM) mpaka vyama pinzani( Chadema n.k ) hakuna mtu atajaribu hata kumutikisa Rais Magufuli katika uchaguzi wa 2020 ndani na nje ya chama chake. OVER!!
 
Hivi wewe ikitokea mtu akakuita M.P.U.U.Z.I au M.S.E.N.G.E.R.E.M.AAA Utachukia???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Nonsense mtupu..
. Kama hizo ndo Sera zako za chama jichanganye ukabwage manyaga kwa wapiga kura Uone au hujui hata hao uliowataja hawafahamiki huko mtaani Zaidi tu ya mitandaoni tu(JF). Wapiga Kura wengi wamejaa Facebook na Instagram Wako busy Wakiambiana tu Umedamshi na kogonga like kwa kwenda mbele hawajui kabisa katika hii Dunia kama Kuna mtu Anaitwa Ben sanane Wala Anzory.

NAKUPA TU LONJA HIZO NI HOJA MFU SANA UKIWA KWENYE JUKWAA LA WAPIGA KURA AMBAO SI WATU WA KUFUATILIA MAMBO MTANDAONI KAMA WEWE.

Mtanzania anaweza kuchagua kiongozi kutoka chama fulani kisa tu kapendezwa na Wimbo mmoja wa chama hicho.
Mfano , Ule Wimbo wa CCM mbele kwa mbele na kuisoma namba uliteka Akili ya Watanzania wengi Sana na kujikuta Wakitoa Kura nyingi Sana kwenye chama Cha wimbo huo.
Mkuu Amini Usiamini Siasa Ni mchezo mchafu Sana unaohitaji akili na mbinu nyingi Sana.
 
Kwanza nimpongeze rais Magufuli kwa kuchapa "kazi" amewashinda watangulizi wake wote ndani ya miaka 4 sasa tunakimbizana na wazungu kwa maendeleo, viwanda 4000, SGR, Mradi wa umeme, madege makubwa kama yote na deni letu la taifa ni himilivu ingawaje tunajenga kwa pesa zetu za ndani, makofi tafadhali.

Nirudi kwenye mada juzi Mkuu wa mkoa mhe sana Makonda ameomba fedha za hospitali ya wilaya ubungo na tayari pesa zimetolewa na kazi imeanza, nimekuwa nikisikiliza bunge mara kwa mara sijawahi kuona mbunge anaomba pesa ya mradi na pesa ikatoka kwa haraka hivyo wakati wao ndio wanaidhinisha na kupanga bajeti na matumizi yake, sasa kama rais wetu anaweza kuidhinisha matumizi ya pesa kwa haraka kiasi hichi kazi ya bunge imebaki nini?

Sioni umuhimu wa kutumia gharama kubwa kuhudumia wabunge ambao hawana kazi yoyote ile, gharama hizo zielekezwe maeneo mengine.
 
Hivi wewe ikitokea mtu akakuita M.P.U.U.Z.I au M.S.E.N.G.E.R.E.M.AAA Utachukia???[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Bila shaka sindano imepenya mkuu ndo maana umekosa hoja na kucheka hovyo pasipo kuchekeshwa.

Pole Sana Mkuu siwezi kukulaumu wewe. Bali kukosa hoja za kukitetea chama chako kwa Hali Tete ya ukosefu wa hoja za kimaendeleo zinazokikumba
 
what you have posted is extremely rubbish! poor analysis,poor reasoning!😁😁

Shame on you senior member! πŸ˜ƒπŸ˜ƒ you have tiresome journey to get tittle of Senior Expert Member of JF.

Rubbish of that nature will let you down.

By the way relax DUDE.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
NAOAN
Bila shaka sindano imepenya mkuu ndo maana umekosa hoja na kucheka hovyo pasipo kuchekeshwa.

Pole Sana Mkuu siwezi kukulaumu wewe. Bali kukosa hoja za kukitetea chama chako kwa Hali Tete ya ukosefu wa hoja za kimaendeleo zinazokikumba
NAONA WEWE NDO UNATESEKA NA hogo la jang'ombe! Ambalo tayari lishaharibu M.A.R.I.N.D.A yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bwana Molembe natumai ulitaka kujiita milembe ni basi tu typing error ilitokea.

Moderator rekebisheni id ya mleta mada iendane vyema na mabandiko yake.
 
Ccm kujifanya mnatoa elimu bure lakini mmeshindwa kumsomesha ABashite mnajua kuwa 2020 angekuwa anamaliza form 4 labda mtuambie alivyoteuliwa tu alishika ujauzito ndiyo mkashindwa kumpeleka form one
 
NAOAN

NAONA WEWE NDO UNATESEKA NA hogo la jang'ombe! Ambalo tayari lishaharibu M.A.R.I.N.D.A yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh sikujua Kama mda wote huo nilikuwa najibizana na punga aisee ndo maana nashangaa kujikesha kumezidi harafu Cha kuchekesha sikioni.
Mr Mero watu wenye Tabia hii wawe Wanawekwa wazi mapema wanatuchefua Sana..

Ona Sasa Wameanza Hadi kujitangaza Tabia zao za ushoga Kupitia jukwaa la Siasa..

Wewe punga Nenda ukajikeshe na kujitongozesha kwenye Majukwaa yako Yale Mapenzi,urafik na mahusiano utuwapata Mapunga wenzako huko wamejaa. Na kuendelea kujibizana na wewe kwenye jukwaa hili nikuonekana Kama nakupigia promo upunga wako.

I won't qoute/reply back your gay posts again go and die else where else you rabish boy.
 
Tatizo anaogopa sana upinzani, hali upinzani ndio umeimpa umemfanya kuyatekeleza yote.Asiowane wapinzani ni maadui bali washauri wadau wa maendeleo. Kelele za wapinzani ndizo uifanya ccm isilale isibwwteke.Katenda mengi mazuri yanayombeba yale mabaya ndio yanayomharibia
 
@"johnthebaptist,
Ingekuwa vipi kama Kikwete asingeruhusu kukosolewa kuweka TBC mara zote yupo live na kuminya uhuru wa habari?
Huyu angekosa kabisa sifa maana ukiacha ATCL, S Gorge na Chato, miradi yote anayosifiwa nayo ni ya JK hata na mbeleko. Awamu hii ni ya maneno mengi bila vitendo.
 

Serikali imejikita kwenye ujenzi wa miundombinu na shughuli zingine za maendeleo lakini haijaviongezea ruzuku vyama vya Siasa. Hii ndiyo prediction yangu mimi. Usishangae kusikia kitu kama hicho ifikapo Oktoba 2020!
 
KIFUPI NI KWAMBA NIMEKUDHARAU WITH HIGHEST Degrees! ndio mamana ya hizo Emoji.

By the way Max is not among of moderators! !πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni founder wa JF inaonekana hujui hata historia ya JUKWAA who is who...shame on you ARROGANT MEMBER!πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…