Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kiukweli ni kama mungu amesikia maombi yetu ya miaka mingi.kuwa tunataka rais dikteta ambaye hatokuwa na muda wa kufikiria fikiria.yeye ataamua tu mambo yatakuwa.
Kweli mwaka 2015 tulishushiwa toka huko Rais hiyo John Pombe Magufuli.ni rais mchapa kazi asiyelala na ikitokea pembeni yake kunakuwa na mafile.akishtuka usingizini anaendelea kupiga kazi hakuna kuremba.
Tumeona jinsi ambavyo amenunua mijidege imekuwa mingi mpaka imekosa watu wa kupanda.ipo tu airport na mingine ina randa randa tu hewani. Watanzania tunapoiona tunafarijika sana na kujisikia amani kabisa moyoni.
Rais wetu ningemwomba afanye haya yafuatayo.
1. Hizi note za 10,000 zichapishwe sura yake kama kumbukumbu.
2. Kila mtu nyumbani kwake alazimishwe kununua na kubandika picha yake.
3. Iwepo sara maalum ya kumwomba na kumwombea mh rais.
4.kwenye wimbo wa taifa uongezwe ubeti unaosema
"mungu mbariki magufuli.
zibariki kazi za mikono yake
Hekima,busara na akili zake
hizi ni ngao zetu
tanzania na watu wake"
Watu wote wasimame linapotajwa jina lake.kama kuna mtu atamsema vibaya huyo akatwe th mdomo.
baada ya Nyerere kuwa baba wa Taifa.Mh. Magu nashauri awe bamdogo wa Taifa.