Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

well said[emoji123][emoji123]
Kongole kwa mwana Tanzania na muhitimu bora wa siasa za Mwalimu Nyerere.
Unatekeleza kwa vitendo na kasi yale aliyoyataka the late Julius Kambarage Nyerere.

Kuna wakati kama Watanzania wazalendo tuliichukia CCM kutokana na matendo ovu ya wana CCM mafisadi na tukatamani alternative ambayo bila kujua ilikuwa ni alternative ya kishetani.

Sasa tumeelewa kweli ya chama cha ukombozi Tanzania na Afrika na hatuna budi kuifuata, kuilinda na kuielezea.
 
Uzuri wa Rais Magufuli ni kutobadilisha safari yake pamoja na kupigiwa makelele ili apotee njia!

Sina shaka baada ya miaka 10 ya utawala wake kikatiba tutarudi hapa na kuanza kuwasikia wakisifia wale wanaopiga kelele leo ili apotee njia!

Sijashangaa kusoma andiko lako kwa sababu ninajua wenye macho kama wewe wanaona na kukubali kile anachokifanya Rais Magufuli kwa faida ya taifa.
 
Chadema toka 2015 wameendeleza tabia ya matusi kwa kila anayewakosoa hata kwa nia njema. Hakuna tena kujadiliana kwa hoja na facts zaidi ya kuitwa msaliti kila unapokosoa hasa ukimgusa Mbowe.

Hii imepelekea wengine kujiondoa kimya kimya, waziwazi na wengine kama sisi tuliokuwa hatuna vyama zaidi ya ku support harakati kuamua kumuunga mkono JPM.

Chadema haitobadilika hadi itapofikia kale kagenge kadogo katapobakia chenyewe na wao kugawana mbao! Kwasasa ni sawa na lori ambalo break zimekatika na linaelekea korongoni!
 
I'm sorry Zitto, Slaa, Kitila tuliaminishwa nyie ni wasaliti kumbe wasaliti wa mabadiliko ya kweli ni wala ruzuku chini ya kamanda Mbowe
 
Kongole kwa mwana Tanzania na muhitimu bora wa siasa za Mwalimu Nyerere.

Unatekeleza kwa vitendo na kasi yale aliyoyataka the late Julius Kambarage Nyerere.

Kuna wakati kama Watanzania wazalendo tuliichukia CCM kutokana na matendo ovu ya wana CCM mafisadi na tukatamani alternative ambayo bila kujua ilikuwa ni alternative ya kishetani.

Sasa tumeelewa kweli ya chama cha ukombozi Tanzania na Afrika na hatuna budi kuifuata, kuilinda na kuielezea.
Unajifariji tu. huenda wakati wa JK ulikosa fursa, na kwa akili yako fupi hata wakati wa JPM huwezi pata fursa. kwa kuwa ni aina ya watu wenye sadisim mindset,

we hukuchukia ufisadi unachukia waliofanikiwa kiuchumi,

Watu wa aina yenu hamjawahi kuwa na msaada kwenye jamii yoyote, zaidi ya majungu na fitina tu.

Hao unawaita mafisadi huenda ndo wanakufanya wewe na familia yako mwende chooni, pumbavu kabisa nyie watu kwenye akili za kijamaa/kimasikini ndo mnaifanya mchi isiendelee
 
Chadema toka 2015 wameendeleza tabia ya matusi kwa kila anayewakosoa hata kwa nia njema. Hakuna tena kujadiliana kwa hoja na facts zaidi ya kuitwa msaliti kila unapokosoa hasa ukimgusa Mbowe.

Hii imepelekea wengine kujiondoa kimya kimya, waziwazi na wengine kama sisi tuliokuwa hatuna vyama zaidi ya ku support harakati kuamua kumuunga mkono JPM.

Chadema haitobadilika hadi itapofikia kale kagenge kadogo katapobakia chenyewe na wao kugawana mbao! Kwasasa ni sawa na lori ambalo break zimekatika na linaelekea korongoni!
Chadema itaendelea kuwepo, shida yenu ni chuki binafsi kwa MTU mmoja mmoja siyo itikadi au Sera za chama, hapo nanyi mnakosea,

Sijawahi ona ukosoaji kwenye Sera au itikadi au hata katiba ya chama,
Ukosoaji wa personality za watu tu.

Tubishanie Sera mfano sera ya elimu ya chadema ni IPI? Je itatufaa kwa wakati huu,

Wengi wenu mnaoikosoa CDM ni sadist mlikuwa mnasupport CDM ili wakiingia madarakani wawakomoe, wawafilisi wale msiowapenda, kitu ambacho sio sawa, madhara ya Sera za kukomoana yameporosha biashara na uchumi.

Mkuu Kosoa sera, itikadi, katiba, personality za watu hazina mashiko
 
Kongole kwa mwana Tanzania na muhitimu bora wa siasa za Mwalimu Nyerere.

Unatekeleza kwa vitendo na kasi yale aliyoyataka the late Julius Kambarage Nyerere.

Kuna wakati kama Watanzania wazalendo tuliichukia CCM kutokana na matendo ovu ya wana CCM mafisadi na tukatamani alternative ambayo bila kujua ilikuwa ni alternative ya kishetani.

Sasa tumeelewa kweli ya chama cha ukombozi Tanzania na Afrika na hatuna budi kuifuata, kuilinda na kuielezea.
Duh..hadi wewe.
 
Kwani huyu Sumaye ni nani hasa in particular kiasi binadamu wamechukia namna hii? Kuna nini alitumwa kufanya sasa kimebuma?
 
Kwahiyo unaunga mkono mafisadi yale yaliyokuwa yanachota pesa za Wananchi kwa sandarusi?
Unajifariji tu. huenda wakati wa JK ulikosa fursa, na kwa akili yako fupi hata wakati wa JPM huwezi pata fursa. kwa kuwa ni aina ya watu wenye sadisim mindset,

we hukuchukia ufisadi unachukia waliofanikiwa kiuchumi,

Watu wa aina yenu hamjawahi kuwa na msaada kwenye jamii yoyote, zaidi ya majungu na fitina tu.

Hao unawaita mafisadi huenda ndo wanakufanya wewe na familia yako mwende chooni, pumbavu kabisa nyie watu kwenye akili za kijamaa/kimasikini ndo mnaifanya mchi isiendelee
 
HAYA NI MAAJABU YA AWAMU YA TANO YA CHUMA (JPM).

*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linawauzia Watanzania Nguzo za Umeme 1@Tsh. 1,000,000/- (Milioni Moja).

*Awamu ya tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Nguzo za Umeme zinatolewa Bureee bila Malipo yoyote (Haziuzwi).

*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linajiendesha Kihasara,
Sasahivi, TANESCO inajiendesha kwa Faida Maradufu na Wanatoa Gawio kwa Serikali Kuu kupitia Hazina.

*Zamani Umeme ulikuwa UnakatikaKatika hovyohovyo Saa 24, Wiki nzima.
Na sababu kuu iliyokuwa inatolewa au kusemwa ni "Bwawa la Mtera Kukauka Maji Mara kwa Mara."

*Lakini Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
Umeme unawaka Saa 24, Wiki nzima katika Vijiji, Vitongoji na Mitaa yote Nchini.

Na Sikuhizi Bwawa la Mtera halikauki Maji tenaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

#Hongera sana Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kazi Nzuri iliyotukuka.

*Hakika, ILANI ya CCM inatekelezwa kikamilifu.

2020 #MagufuliTena!

#Habari ndio hiyooooo!
huku Njombe tunauziwa nguzo laki 1 .yote kwa yote kila lilipofika jicho la magufuli pamekaa sawa. Magufuli songa mbele kama Injili. Ila wafanyakazi tukumbuke baba.
 
Pia pamoja na yote bado Mbowe anang'ang'ania uwenyekiti Chadema. Na yeye na wafuasi wanadai hata Rais wa Tanzania wa mwaka 2035 kupitia CCM, atamkuta bado ni mwenyekiti wa Chadema!
 
Back
Top Bottom