Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Kwahiyo kuanzia nyerere mpaka kikwete unamaanisha wote walikua niwapiga dili???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAYA NI MAAJABU YA AWAMU YA TANO YA CHUMA (JPM).
*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linawauzia Watanzania Nguzo za Umeme 1@Tsh. 1,000,000/- (Milioni Moja).
*Awamu ya tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Nguzo za Umeme zinatolewa Bureee bila Malipo yoyote (Haziuzwi).
*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linajiendesha Kihasara,
Sasahivi, TANESCO inajiendesha kwa Faida Maradufu na Wanatoa Gawio kwa Serikali Kuu kupitia Hazina.
*Zamani Umeme ulikuwa UnakatikaKatika hovyohovyo Saa 24, Wiki nzima.
Na sababu kuu iliyokuwa inatolewa au kusemwa ni "Bwawa la Mtera Kukauka Maji Mara kwa Mara."
*Lakini Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
Umeme unawaka Saa 24, Wiki nzima katika Vijiji, Vitongoji na Mitaa yote Nchini.
Na Sikuhizi Bwawa la Mtera halikauki Maji tenaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#Hongera sana Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kazi Nzuri iliyotukuka.
*Hakika, ILANI ya CCM inatekelezwa kikamilifu.
2020 #MagufuliTena!
#Habari ndio hiyooooo!
Zamani wafanyakazi walipata annual increments zao kila mwaka, lkn kwa sasa zimeishia ndotoniHAYA NI MAAJABU YA AWAMU YA TANO YA CHUMA (JPM).
*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linawauzia Watanzania Nguzo za Umeme 1@Tsh. 1,000,000/- (Milioni Moja).
*Awamu ya tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Nguzo za Umeme zinatolewa Bureee bila Malipo yoyote (Haziuzwi).
*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linajiendesha Kihasara,
Sasahivi, TANESCO inajiendesha kwa Faida Maradufu na Wanatoa Gawio kwa Serikali Kuu kupitia Hazina.
*Zamani Umeme ulikuwa UnakatikaKatika hovyohovyo Saa 24, Wiki nzima.
Na sababu kuu iliyokuwa inatolewa au kusemwa ni "Bwawa la Mtera Kukauka Maji Mara kwa Mara."
*Lakini Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
Umeme unawaka Saa 24, Wiki nzima katika Vijiji, Vitongoji na Mitaa yote Nchini.
Na Sikuhizi Bwawa la Mtera halikauki Maji tenaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#Hongera sana Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kazi Nzuri iliyotukuka.
*Hakika, ILANI ya CCM inatekelezwa kikamilifu.
2020 #MagufuliTena!
#Habari ndio hiyooooo!
Kutoka .......% hadi ........%. Jaza hilo ongezeko kwa asilimia ili ueleweke chifu.Usisahau idadi ya maskini imeongezeka sana.
Gadafi wa Libya alifanya mengi zaidi ya haya, lakini mwisho wake alifia ndani ya mtaro. FIKIRI NA TAFAKARIHAYA NI MAAJABU YA AWAMU YA TANO YA CHUMA (JPM).
*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linawauzia Watanzania Nguzo za Umeme 1@Tsh. 1,000,000/- (Milioni Moja).
*Awamu ya tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Nguzo za Umeme zinatolewa Bureee bila Malipo yoyote (Haziuzwi).
*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linajiendesha Kihasara,
Sasahivi, TANESCO inajiendesha kwa Faida Maradufu na Wanatoa Gawio kwa Serikali Kuu kupitia Hazina.
*Zamani Umeme ulikuwa UnakatikaKatika hovyohovyo Saa 24, Wiki nzima.
Na sababu kuu iliyokuwa inatolewa au kusemwa ni "Bwawa la Mtera Kukauka Maji Mara kwa Mara."
*Lakini Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
Umeme unawaka Saa 24, Wiki nzima katika Vijiji, Vitongoji na Mitaa yote Nchini.
Na Sikuhizi Bwawa la Mtera halikauki Maji tenaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
#Hongera sana Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kazi Nzuri iliyotukuka.
*Hakika, ILANI ya CCM inatekelezwa kikamilifu.
2020 #MagufuliTena!
#Habari ndio hiyooooo!
Nyerere kwa maswala ya umeme alikuwa muelewa mkubwa kuliko walifuata akina Mwinyi,Mkapa,na Kikwete.Kwahiyo kuanzia nyerere mpaka kikwete unamaanisha wote walikua niwapiga dili???
Maajabu ya awamu ya awamu ya tano yamefika mpaka nyumbani kwangu.
Wakati wa awamu ya NNE kwenda nyuma watoto wa familia walikuwa wakikosa katika breakfast mayai wanalalama au maziwa wanauliza mbona Leo hakuna au wa maziwa hajaleta? Mkate bila siagi wanasema ngumu kumeza. Na complications kibao kwani walikuwa wanasikiliza na kuuzingatia wimbo ule maarufu "kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa"
Lakini awamu ya tano imeleta maendeleo na mapinduzi ya kifikra sasa hata wakikuta kiporo hawahoji zaidi ya kusema "asante kwa chakula"
Sijajua ni mbinu gani katumia Magufuli kunibadilishia vijana hadi kubadilika hivi na kutambua kuwa kiporo ni "bora"
Kutoka .......% hadi ........%. Jaza hilo ongezeko kwa asilimia ili ueleweke chifu.
HAYA NI MAAJABU YA AWAMU YA TANO YA CHUMA (JPM).
*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linawauzia Watanzania Nguzo za Umeme 1@Tsh. 1,000,000/- (Milioni Moja).
*Awamu ya tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Nguzo za Umeme zinatolewa Bureee bila Malipo yoyote (Haziuzwi).
*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linajiendesha Kihasara,
Sasahivi, TANESCO inajiendesha kwa Faida Maradufu na Wanatoa Gawio kwa Serikali Kuu kupitia Hazina.
*Zamani Umeme ulikuwa UnakatikaKatika hovyohovyo Saa 24, Wiki nzima.
Na sababu kuu iliyokuwa inatolewa au kusemwa ni "Bwawa la Mtera Kukauka Maji Mara kwa Mara."
*Lakini Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
Umeme unawaka Saa 24, Wiki nzima katika Vijiji, Vitongoji na Mitaa yote Nchini.
Na Sikuhizi Bwawa la Mtera halikauki Maji tenaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#Hongera sana Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kazi Nzuri iliyotukuka.
*Hakika, ILANI ya CCM inatekelezwa kikamilifu.
2020 #MagufuliTena!
#Habari ndio hiyooooo!
Vijana punguzeni mahaba.Na Sikuhizi Bwawa la Mtera halikauki Maji tenaaaaaaa.
#Hongera sana Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kazi Nzuri iliyotukuka.
Na wewe anzisha chama chako ukae milele ,huoni aliyeanzisha CCM alikaa miaka mingapi?Pia pamoja na yote bado Mbowe anang'ang'ania uwenyekiti Chadema. Na yeye na wafuasi wanadai hata Rais wa Tanzania wa mwaka 2035 kupitia CCM, atamkuta bado ni mwenyekiti wa Chadema!
Chadema kimekosa credibility ya kutetea demokrasia ya kweli nchini. Ebu nikuulize, ikitokea ikapelekwa hoja ya kuondoa ukomo wa Urais Tanzania, Mbowe na ninyi wafuasi wake, mnaweza kupinga!?Na wewe anzisha chama chako ukae milele ,huoni aliyeanzisha CCM alikaa miaka mingapi?