Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Unampa sifa zisizokuwa zake.mabadiliko Tanesco yametokea baada prof Muongo kuoewa wizara ya nishati na madini enzi za JK. Muongo ndiye aliyefanya nguzo za umeme zipungue bei,na siyo bure kama unavyosema,Muongo ndiye aliyeondoa kabisa migaomigao ya umeme iliyokuwa inawekwa makusudi tu na mafisadi ,so ndugu acha kutoa sifa kwa mtu zisizokuwa zake
HAYA NI MAAJABU YA AWAMU YA TANO YA CHUMA (JPM).

*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linawauzia Watanzania Nguzo za Umeme 1@Tsh. 1,000,000/- (Milioni Moja).

*Awamu ya tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Nguzo za Umeme zinatolewa Bureee bila Malipo yoyote (Haziuzwi).

*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linajiendesha Kihasara,
Sasahivi, TANESCO inajiendesha kwa Faida Maradufu na Wanatoa Gawio kwa Serikali Kuu kupitia Hazina.

*Zamani Umeme ulikuwa UnakatikaKatika hovyohovyo Saa 24, Wiki nzima.
Na sababu kuu iliyokuwa inatolewa au kusemwa ni "Bwawa la Mtera Kukauka Maji Mara kwa Mara."

*Lakini Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
Umeme unawaka Saa 24, Wiki nzima katika Vijiji, Vitongoji na Mitaa yote Nchini.

Na Sikuhizi Bwawa la Mtera halikauki Maji tenaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#Hongera sana Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kazi Nzuri iliyotukuka.

*Hakika, ILANI ya CCM inatekelezwa kikamilifu.

2020 #MagufuliTena!

#Habari ndio hiyooooo!
 
Zamani wafanyakazi walipata annual increments zao kila mwaka, lkn kwa sasa zimeishia ndotoni

Zamani vyama vya upinzani vilitekeleza majukumu yao ya kisiasa yaliyoainishwa kisheria na kikatiba, lkn kwa sasa ni marufuku kwa kupitia presidential decree

Mkuu, tupanue mjadala zaidi kwa kuangalia "other side of the coin"
 
Maajabu ya awamu ya awamu ya tano yamefika mpaka nyumbani kwangu.
Wakati wa awamu ya NNE kwenda nyuma watoto wa familia walikuwa wakikosa katika breakfast mayai wanalalama au maziwa wanauliza mbona Leo hakuna au wa maziwa hajaleta? Mkate bila siagi wanasema ngumu kumeza. Na complications kibao kwani walikuwa wanasikiliza na kuuzingatia wimbo ule maarufu "kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa"
Lakini awamu ya tano imeleta maendeleo na mapinduzi ya kifikra sasa hata wakikuta kiporo hawahoji zaidi ya kusema "asante kwa chakula"
Sijajua ni mbinu gani katumia Magufuli kunibadilishia vijana hadi kubadilika hivi na kutambua kuwa kiporo ni "bora"
 
HAYA NI MAAJABU YA AWAMU YA TANO YA CHUMA (JPM).

*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linawauzia Watanzania Nguzo za Umeme 1@Tsh. 1,000,000/- (Milioni Moja).

*Awamu ya tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Nguzo za Umeme zinatolewa Bureee bila Malipo yoyote (Haziuzwi).

*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linajiendesha Kihasara,
Sasahivi, TANESCO inajiendesha kwa Faida Maradufu na Wanatoa Gawio kwa Serikali Kuu kupitia Hazina.

*Zamani Umeme ulikuwa UnakatikaKatika hovyohovyo Saa 24, Wiki nzima.
Na sababu kuu iliyokuwa inatolewa au kusemwa ni "Bwawa la Mtera Kukauka Maji Mara kwa Mara."

*Lakini Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
Umeme unawaka Saa 24, Wiki nzima katika Vijiji, Vitongoji na Mitaa yote Nchini.

Na Sikuhizi Bwawa la Mtera halikauki Maji tenaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

#Hongera sana Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kazi Nzuri iliyotukuka.

*Hakika, ILANI ya CCM inatekelezwa kikamilifu.

2020 #MagufuliTena!

#Habari ndio hiyooooo!
Gadafi wa Libya alifanya mengi zaidi ya haya, lakini mwisho wake alifia ndani ya mtaro. FIKIRI NA TAFAKARI
 
Reli barabara nyingi vyote vilijengwa na mkoloni, lkn tulimuondoa..
 
Kwahiyo kuanzia nyerere mpaka kikwete unamaanisha wote walikua niwapiga dili???
Nyerere kwa maswala ya umeme alikuwa muelewa mkubwa kuliko walifuata akina Mwinyi,Mkapa,na Kikwete.
Ukali wa Nyerere kwa watu waliotaka kuibia serikali yake ilisaidia sana kupata miradi mikubwa ya uhakika na nafuu ya kufua umeme.
LAKINI baada ya Nyerere kuachia ngazi ikafunguliwa milango ya kuhujumu Tanesco kwa maslahi binafsi.
Mkapa,Kikwete kwa kutojua au kwa kiburi cha ulimbukeni kwenye nyanja ya nishati they buried alive Tanzanian peasants.
 
hahaaa, umenikumbusha litetature

'EAT MORE' the slogan says
Maajabu ya awamu ya awamu ya tano yamefika mpaka nyumbani kwangu.
Wakati wa awamu ya NNE kwenda nyuma watoto wa familia walikuwa wakikosa katika breakfast mayai wanalalama au maziwa wanauliza mbona Leo hakuna au wa maziwa hajaleta? Mkate bila siagi wanasema ngumu kumeza. Na complications kibao kwani walikuwa wanasikiliza na kuuzingatia wimbo ule maarufu "kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa"
Lakini awamu ya tano imeleta maendeleo na mapinduzi ya kifikra sasa hata wakikuta kiporo hawahoji zaidi ya kusema "asante kwa chakula"
Sijajua ni mbinu gani katumia Magufuli kunibadilishia vijana hadi kubadilika hivi na kutambua kuwa kiporo ni "bora"
 
Hujavuta umeme wewe sisi tanga ukiwa zaidi ya mita 30 unatoa laki2 kila nguzo
 
Njoo wilaya ya masasi uone umeme unavyokatika hasa ndanda utalia. Ulikatika juzi umerudi leo
 
Watu hatuna umeme tangu juzi saa 3 usiku, tukipiga namba ya dharura Kisarawe eti inatumika muda wote, halafu Wewe unaleta za kuleta hapa!!
HAYA NI MAAJABU YA AWAMU YA TANO YA CHUMA (JPM).

*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linawauzia Watanzania Nguzo za Umeme 1@Tsh. 1,000,000/- (Milioni Moja).

*Awamu ya tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Nguzo za Umeme zinatolewa Bureee bila Malipo yoyote (Haziuzwi).

*Zamani Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) lilikuwa linajiendesha Kihasara,
Sasahivi, TANESCO inajiendesha kwa Faida Maradufu na Wanatoa Gawio kwa Serikali Kuu kupitia Hazina.

*Zamani Umeme ulikuwa UnakatikaKatika hovyohovyo Saa 24, Wiki nzima.
Na sababu kuu iliyokuwa inatolewa au kusemwa ni "Bwawa la Mtera Kukauka Maji Mara kwa Mara."

*Lakini Awamu ya Tano ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
Umeme unawaka Saa 24, Wiki nzima katika Vijiji, Vitongoji na Mitaa yote Nchini.

Na Sikuhizi Bwawa la Mtera halikauki Maji tenaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#Hongera sana Mh Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kazi Nzuri iliyotukuka.

*Hakika, ILANI ya CCM inatekelezwa kikamilifu.

2020 #MagufuliTena!

#Habari ndio hiyooooo!
 
Pia pamoja na yote bado Mbowe anang'ang'ania uwenyekiti Chadema. Na yeye na wafuasi wanadai hata Rais wa Tanzania wa mwaka 2035 kupitia CCM, atamkuta bado ni mwenyekiti wa Chadema!
Na wewe anzisha chama chako ukae milele ,huoni aliyeanzisha CCM alikaa miaka mingapi?
 
Ila mimi nashangaa sana, yaani simba pamoja na nguvu alizonazo, eti anaogopa PAKA.

Kwa kweli hili ndilo la ajabu sana.
 
Na wewe anzisha chama chako ukae milele ,huoni aliyeanzisha CCM alikaa miaka mingapi?
Chadema kimekosa credibility ya kutetea demokrasia ya kweli nchini. Ebu nikuulize, ikitokea ikapelekwa hoja ya kuondoa ukomo wa Urais Tanzania, Mbowe na ninyi wafuasi wake, mnaweza kupinga!?
 
Back
Top Bottom