Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kiukweli ni kama mungu amesikia maombi yetu ya miaka mingi.kuwa tunataka rais dikteta ambaye hatokuwa na muda wa kufikiria fikiria.yeye ataamua tu mambo yatakuwa.

Kweli mwaka 2015 tulishushiwa toka huko Rais hiyo John Pombe Magufuli.ni rais mchapa kazi asiyelala na ikitokea pembeni yake kunakuwa na mafile.akishtuka usingizini anaendelea kupiga kazi hakuna kuremba.

Tumeona jinsi ambavyo amenunua mijidege imekuwa mingi mpaka imekosa watu wa kupanda.ipo tu airport na mingine ina randa randa tu hewani. Watanzania tunapoiona tunafarijika sana na kujisikia amani kabisa moyoni.

Rais wetu ningemwomba afanye haya yafuatayo.
1. Hizi note za 10,000 zichapishwe sura yake kama kumbukumbu.
2. Kila mtu nyumbani kwake alazimishwe kununua na kubandika picha yake.
3. Iwepo sara maalum ya kumwomba na kumwombea mh rais.

4.kwenye wimbo wa taifa uongezwe ubeti unaosema

"mungu mbariki magufuli.
zibariki kazi za mikono yake
Hekima,busara na akili zake
hizi ni ngao zetu
tanzania na watu wake"

Watu wote wasimame linapotajwa jina lake.kama kuna mtu atamsema vibaya huyo akatwe th mdomo.

baada ya Nyerere kuwa baba wa Taifa.Mh. Magu nashauri awe bamdogo wa Taifa.
 
Inshaalah atakuwa kuwa tu maana anamkimbiza nyerere kiutendaji

State agent
 
Kwa mara nyingine serikali ya awamu ya 5 iliyojikita kuwatumikia watanzania pasipo kujali itikadi ya vyama wala misingi ya dini na kabila leo imetukuna wagombea na wapiga kura katika uchaguzi tarajiwa wa serikali za mitaa, katika mbalimbali ya Mbagala jijinI DSM majina yaliyobandikwa ya wagombea ni ya wote walionyesha nia ya kugombea. Rais wetu JPM azidi kuungwa mkono kwa kusikikiza maombi ya wananchi, sasa tujiandae kusikikiza sera za wagombea, MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kumbe ni Mbagala nyie mko nyuma Jafo kabadili uamuzi leo na atabadili mwingine kesho
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Magufuli tuzidi kumuombea achape kazi, binadamu hatuma pema, majuzi tulilalamika kukatwa, leo tumerudishwa , tunapinga kwa vile tunajua CCM haina mbadala nchini TZ. Upinzani umebaki kwenye mitandao tu
 
Ipo kazi ili mradi unaandika hata kisichoeleweka
 
Poleni nyinyi
Jafo leo kapiga U-turn
Kauli yake ya jana leo kaikana
kwa hiyo Msimamo ni uleule, walioenguliwa hawaruhusiwi kugombea
Huku mtaani kwangu, wote waliokaenguliwa majina yao yapo katika mpambano wa Novemba 24, 2019 wewe upo nchi gani usiyepita kwenye mbao za matangazo katika ofisi za mitaa na vijiji?!
 
Hawarudi nyuma mlima huu hata kwa kucha utapandwa
 
Siku nyingine ukiwa unaandika uwe unatulia acha papara
 
Hivi ccm imekung'oa ubongo na kukufanya ndondocha !
 
Kumbe ni Mbagala nyie mko nyuma Jafo kabadili uamuzi leo na atabadili mwingine kesho
Jafo hajui na wala haijulikani anaelekea wapi. Tusubiri mchoro wa Kipanya utafurahisha tu. Kwa nje ni Jafo kashika usukani kwa ndani sijui dude gani linaendesha.
 
Ficha ujinga wako. No one is above the law.
 
Jafo hajui na wala haijulikani anaelekea wapi. Tusubiri mchoro wa Kipanya utafurahisha tu. Kwa nje ni Jafo kashika usukani kwa ndani sijui dude gani linaendesha.
Rimoti kutoka ikulu inafanya yake.
Jafool kajiaibisha kweli leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…