Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Unamwona anatetemeka sasa hivi! Mwanzo hukuona kama alikuwa anatetemekaLowassa naye na kutetemeka kwake, hakubaki nyuma kwenye KUIMBA NYIMBO ZA MAPAMBIO za kumsifia Magu!
Naona ilikuwa sherehe maalum ya KUIMBA SIFA!
Mimi niliona wakati maiti ya Mengi ikipitishwa toka JKIA na toka Moshi kwenda nyumba ni kwake, tukiachilia mbali ujio wa Awilo Longomba.Wananchi wanampenda sana Mheshimiwa Rais. Leo wazee kwa vijana wamekuwa wakiulizana umemuona Rais?
Watu wamepanda milimani kumuangalia Mheshimiwa Rais, Mwanza ilikuwa imelipuka leo.
Wakati anatoka mamia elfu ya watu walijipanga njiani kumuona Rais wao wamemshangilia sijawahi kuona.
Viongozi ili mpendwe na wananchi watendeeni haki, chukieni dhuluma, umieni kwa ajili ya wananchi wenu.
Muigeni Rais wetu.
Kuna Pedesheee alishawahi kuchukiwa na Watu???!!!! HahaWananchi wanampenda sana Mheshimiwa Rais. Leo wazee kwa vijana wamekuwa wakiulizana umemuona Rais?
Watu wamepanda milimani kumuangalia Mheshimiwa Rais, Mwanza ilikuwa imelipuka leo.
Wakati anatoka mamia elfu ya watu walijipanga njiani kumuona Rais wao wamemshangilia sijawahi kuona.
Viongozi ili mpendwe na wananchi watendeeni haki, chukieni dhuluma, umieni kwa ajili ya wananchi wenu.
Muigeni Rais wetu.
Kila mtu anatamani apendwe basi tu ikitokea kivingine no one is to blame.Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania
Hiyo mitutu ya bunduki inayo mzunguka huioniAnawaogopa au wao ndo wanamuogopa mpaka wanataka maridhiano? Wakifanya jeuri wanalla rupango, sasa anawaogopa vipi? Angekuwa anawaogopa wangekuwa wanafanya vurugu kila suku mitaani kisha wanarudi makwao kulala, huo ndo uoga.
Duuh!! Aiseeee kuna watu wana kichefuchefu na Magufuli. Uzi wako umeunganishwa na uzi wa 2015😅😅😅 Magu anaumiza watu.Wananchi wanampenda sana Mheshimiwa Rais. Leo wazee kwa vijana wamekuwa wakiulizana umemuona Rais?
Watu wamepanda milimani kumuangalia Mheshimiwa Rais, Mwanza ilikuwa imelipuka leo.
Wakati anatoka mamia elfu ya watu walijipanga njiani kumuona Rais wao wamemshangilia sijawahi kuona.
Viongozi ili mpendwe na wananchi watendeeni haki, chukieni dhuluma, umieni kwa ajili ya wananchi wenu.
Muigeni Rais wetu.
Hahaha, una maanisha nini Mkuu?Raha sana ukiwa mhusika mkuu kwenye movie.
Kwa mfano akiongeza muda harafu maendeleo kama yote tatizo liko wapi? Ni Mara 100 Magufuli aongeze muda kuliko kuwapa "MAFISI" Nchi hii.Halafu mwisho anawapiga nyie mnachakaa huku akiongeza muda wa kukaa madarakani mpaka mfe.Waulize wakongo au waganda hawajawahi kusimama