mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Ndio waha mtafute hela sasa.
Nyie kwenye treni yenu mnajazana 3rd class tu huku mkipanda na mihogo/viazi vya kuchemsha,karanga na thermos yenye chai ya rangi hapo TRL haifadiki na nyie inaona ni hasara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie kwenye treni yenu mnajazana 3rd class tu huku mkipanda na mihogo/viazi vya kuchemsha,karanga na thermos yenye chai ya rangi hapo TRL haifadiki na nyie inaona ni hasara tu.
Kaskazini mmependelewa sana,
Yaani mabehewa ya kigoma yameletwa kwenu Kaskazini. Sasa hivi dar kigoma tunabanana kwenye mabehewa kama mawe.
Sent using Jamii Forums mobile app