Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ndio waha mtafute hela sasa.

Nyie kwenye treni yenu mnajazana 3rd class tu huku mkipanda na mihogo/viazi vya kuchemsha,karanga na thermos yenye chai ya rangi hapo TRL haifadiki na nyie inaona ni hasara tu.
Kaskazini mmependelewa sana,
Yaani mabehewa ya kigoma yameletwa kwenu Kaskazini. Sasa hivi dar kigoma tunabanana kwenye mabehewa kama mawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnga'to hapo nipo stesheni, nakuja dar!
Nina debe moja la karanga.
Gunia dogo la mihogo mitamu.
Ninazo lita tano za mafuta ya mawese.
Pia kuna miwa nimeiweka kwenye kiroba kidogo.
Na pembeni kuna ufagio nimeagizwa na mjomba wangu aliyeko dar.
Na vyote hivyo naingia navyo ndani ya treni bila wasiwasi kabisa!
Hapo ingekuwa ndani ya basi nauli ya kuvisafirisha hivyo vifurushi ingekuwa mara mbili au tatu ya nauli yangu.
Ila treni naenda bure!
Kwa nauli ya 27,900 dar kigoma.
 
Hahah hapo tayari TRL imeshapata bonge la hasara,migebuka sijaiona boss.

Nitoe ushamba mkuu sijawahi kupanda treni sio ya mbeya,kigoma wala hii ya klimanjaro ..je hivyo vitu ulivyosafiri navyo vyote ivo unaviweka kwa wapi umo ndani ya treni je kuna buti au mnaweka kwene carry ya juu ambayo kwene basi tunatumia kuweka mabegi madogo madogo au unaviweka chini ya siti.?
 
Mleta Uzi ni mzalendo. Na sidhani kama ni mchaga. Anyway nchi yetu aibagua wananchi wake! Nchi ni yetu wote bila kujali itikadi za vyama, dini wala kabila! Wachagga rudi katika mstari mjione ni watanzania kama watanzania wengine! Mungu kuweka mlima Kilimanjaro, madini ya Tanzanite, makao makuu ya iliyokuwa Africa mashariki, hali nzuri ya hewa kama Ulaya kusiwafanye mjione bora kuliko watanzania wenzenu! Naishia hapa!
 
mng'ato Migebuka bei mbaya bosi, isitoshe inaweza ikakuozea ndani ya treni! Si unajua ndani ya treni hakuna friza.
 
Tunasema asante baba,

Usafiri umekuwa rahisi hakuna usumbufu tena asante sana.
Maombi tunaomba yaongezwe mabehewa ya vinywaji na mbuzi choma.
Mheshimiwa kwa unavyotupenda Wachaga tawala milele tunaahidi kura zetu 2020 ni 99.999 kama ushindi wa serikali za mitaa.

Kwa niaba ya Wachaga wote wanaoenda kuhesabiwa Mungu akubariki utuletee mwendo kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeji dhalilisha sana. Nilikua nakuona mtu mwenye akili kumbe jinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Uzi ni mzalendo. Na sidhani kama ni mchaga. Anyway nchi yetu aibagua wananchi wake! Nchi ni yetu wote bila kujali itikadi za vyama, dini wala kabila! Wachagga rudi katika mstari mjione ni watanzania kama watanzania wengine! Mungu kuweka mlima Kilimanjaro, madini ya Tanzanite, makao makuu ya iliyokiwa Africa mashariki, hali nzuri ya hewa kama Ulaya kusiwafanye mjione bora kuliko watanzania wenzenu! Naishia hapa!
Tukipata kura za kanda ya ziwa tu kule kwingine tunaokoteza kidogo tu tumeshinda-Prof. Kabugi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods huu uzi ni wangu na niliuanzisha mwezi Noavemba 2015 inakuwaje leo umemilikishwa mtu mwingine?. Naclaim uzi wangu urudishwe mikononi mwa MJENGA ambaye ni mimi.
 
Baada ya Amiri jeshi mkuu kuamrisha kuwakila mkoa uwe na soko ambalo litatumiwa na wafanyabiashara wa madini mbalimbali hatimaye tumeanza kusikia mabilioni ya fedha yakipatikana kupitia minada ya madini sehemu mbalimbali nchini.

Mungu endelea kumlinda Jemedari wetu Dk. John Pombe Magufuli.
 
Takataka post/thread
 
Back
Top Bottom