Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwa sasa magufuli ndiye rais wa watanzania wote..hakuna Ukawa wala Ccm .kwa sasa tunatakiwa tumwombee anapita ktk kipindi kigumu..
 

Muungwana atakemea maovu na atasifia mema. Sasa wewe muungwana gani unajua kukemea tu maovu halafu hujui kusifia mema???!!! Mi hata sikueelewi
 
Ndio rais wa kwanza wa nchi ya Kiafrika kubana matumizi,si unajua tena sisi Waafrika ni maarufu kwa kutumia sana huku nchi zetu zikiwa dhohofu bin hali?
Siyo wa kwanza Bwana wako wengi Thomas Sankara mmoja wao
 
Muungwana atakemea maovu na atasifia mema. Sasa wewe muungwana gani unajua kukemea tu maovu halafu hujui kusifia mema???!!! Mi hata sikueelewi

Siwezi kusifia yaliyo ya kawaida na yanayopaswa kufanywa.

Nitasifia yale tu yaliyo juu ya hapo.
 
Ila jamani tujiulize, what the hell was Kikwete doing all of these years katika utawala wake? Tafadhali raisi wetu Magufuli mkamate huyu mtuhumiwa pamoja na kibaka mwanawe (Mze wa Makontena ya China).
 

xa mbona hujamtaja na kikwete mkwele aliyetufanya watz kuuchukia utz wetu
 
Ila jamani tujiulize, what the hell was Kikwete doing all of these years katika utawala wake? Tafadhali raisi wetu Magufuli mkamate huyu mtuhumiwa pamoja na kibaka mwanawe (Mze wa Makontena ya China).

Kwani ni Kikwete tu ndiye aliyewahi kuwa rais kabla ya Magufuli?

Watu mnaongea kana kwamba ufisadi na uzembe umeanza na Kikwete.

SMDH.
 
Kama wewe huoni afanyacho Magufuli ni cha tofauti au ajabu, wakati dunia nzima pamoja na wazungu mnaowasifia kila siku wanaona anafanya ya ajabu, BASI WEWE UTAKUA WA AJABU.

Hehehe kuna watu walisha loose all hope na nchi yao, infact nchi kuwa kichekesho cha dunia nzima ilikua inawapa ufahari flani hasa waliokimbilia ulaya huko. The slogan "nothing good can come out of Africa" made them feel safe that as long as this remains true then they can continue enjoying the sympathies of their Masters and they can also sleep In piece knowing those they left In Africa are in no better place then themselves.
The Inferiority Complex and Slave Mentality is surely a genetic trait In some black people.
 
Wengine wanahudumia wake na girlfriends za watu wengine ilihali wake zao wakizidi kuchakaa najiuliza Magufuli angeamuaje?
 
Magufuli ameanza vizuri katika kubana matumizi ya serikali nampongeza kwa hilo. Ila tahadhari ichukuliwe mapema kwa kuepuka kumpa sifa zilizopitiliza kwa kila hatua anayochukua. Badala yake Magufuri ashauriwe kufuata sheria sio mabavu tu kila wakati. Mfano suala la vitanda, hiyo tenda MSD waliitangaza lini na wakati gani ilihali vitnda vililetwa weekeend baada ya tamko la Rais Ijumaa? Ni vizuri kununua vitanda vya wagonjwa lakini pia tuepuke kukurupuka bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma tushiishie kupata vitu sub-standard. Na pia suala la kufuta sherehe za uhuru na pesa zake kutumika katika ujenzi wa barabara ni la kupongezwa. Isipokuwa suala la kuanza ujenzi huo bila kufuata sheria ya manunuzi kwa kutangaza tenda nalo sio la kulishabikia. Tutakuja kulia huko mbeleni na asiwepo wa kutunyamizisha.


WITO:Wakati tunampongeza Rais Magufuri tusijitie upofu wa kutoona kasoro zinazojitokeza, hatumsaidii bali tunamharibia.Tumshauri vema Rais ili kuepuka matatizo ya kuokoa pesa upande mmoja na kuziteketeza upande mwingine kwa kutofuata sheria ya manunuzi ya umma ambayo inasisitiza utangazaji wa tenda na kushindanisha wazabuni ili kumpata aliye bora .
 

Hao waliokunywa hadi wakalewa pombe ya Magufuli unadhani watakuelewa basi...?
 
Wacha afanye u dictator hizo taratibu na protocol ndio zilikua zikiwapa mianya majambazi nyie kuibia maskini. Wacha atunyooshe halafu ndio mje na miongozo yenu.
 
Kwani ni Kikwete tu ndiye aliyewahi kuwa rais kabla ya Magufuli?

Watu mnaongea kana kwamba ufisadi na uzembe umeanza na Kikwete.

SMDH.

Usisahau wengi wameanza shule enzi ya Mkapa. Si rahisi kujua kilichotokea enzi ya Nyerere na Mwinyi.
 
viva magufuli vivaaaa

viva watanzania vivaa

viva ccm vivaaaaaaaa
 
Hao waliokunywa hadi wakalewa pombe ya Magufuli unadhani watakuelewa basi...?
Ni kweli Mkuu Nyani Ngabu watanzania wengi ni kama bendera tu, hufuata upepo unakoelekea. Kama mtakumbuka vizuri, kuna propaganda zilianza kutembea humu kuhusu waziri wa fedha. Wengi wa wapiga debe walikuwa wakimpamba Kitilya na Bade kama wangefaa kuteuliwa ubunge na hatimaye mmojawapo kuteuliwa uwaziri wa fedha. Waliwapamba watu hao kana kwamba ni malaika wameshuka leo toka mbinguni. Sasa tunashuhudia madudu yao live bila chenga! sijui hao wapiga debe wanakuja na nini tena? wengine wameanza tena mara ooh Kimei wa CRDB anafaa uwaziri wa fedha. Hii ni kwa kuwa upande wa pili wa Kimei haujajulikana bado kutokana na mfumo wa kulindana uliopo serikalini. Lakini upande wa pili wa hao mnaowapigia debe ukifunuliwa sijui mtaficha wapi sura zenu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…