Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kweli katuletea heshima. Ndiyo maana hata kitaifa kidogo cha Zambia kimetupiga ban kuingia nchini kwao. Hata Malawi kwa kutudharau watatupiga ban kuingia Malawi
Wengi mnaotaja taja Zambia, sijui Malawi ni kwa kuwa humjaona malalamiko ya wananchi wao (mipakani) juu ya ugumu wa maisha baada ya mipaka kufungwa. Kama mmeangalia azamtv habari (utv) jana mtakuwa mnaelewa nazungumzia nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubora wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dr.John Pombe Joseph Magufuli ni katika kufanya maamuzi kwa lugha ya wenyewe wanaita (decision making).
Mhe. Rais amekuwa akichukua na kufanya maamuzi ya aina mbalimbali katika nchi yetu na sote tunaona kwa macho.Kwa mfano amefanya maamuzi ya kuhamia Dodoma, kuondoa wafanya kazi wenye vyeti vya kugushi nk.Nimesema haya kwa kuzingatia kuwa kiongozi yeyote yule au mtawala yeyote yule ubora wake huangaliwa kama ana uwezo wa kufanya maamuzi.Kwa hili la kuchukua au kufanya maamuzi (decision making) hongera Rais wetu.
 
Upepo wake upo vizuri sana. Now akitoa hotuba nchi nzima inatikisika...2020 kesho kutwa anachukua nchi kilaini sana. Nawaombea ndugu zangu wapinzani wapate majimbo angalau bungeni wale wanaosema ndiyoooooo mzeeeeee wasiwe wengi. But kwa kura za Urais...Magufuli unayo kura yangu..na mke wangu.

KWA sasa hakuna Rais bora AFRIKA KAMA MAGUFULI.. Magufuli ni kidume hasa... mwanaume asiyeyumbishwa...kuna wahuni walitaka afunge mpaka... then tufe njaa au.. MAGUFULI kanyaga hapo hapo mzee.
 
hakuna binadamu ambaye ni "ideal" hivyo magufuli kama wanadamu wengine naye ana mapungufu yake,lakini kwenye kiti cha uraisi huyu mbabe kafiti vizuri sana.hakuna ubishi kwa sasa huyu ndiye raisi bora afrika,,,.ila ndio hivyo tuna raisi bora wananchi wabovu
 
Ni kweli mkuu Ila Tanzania inafungiwa vioo na nchi zinazotuzunguka
 
Mkuu Sodabeer, yawezekana kabisa hilo unalolisema likawa sahihi kwa upande wako, lkn cha msingi ni uhalisia wake wote ktk "public domain". Kwa sababu, kuwa na "limited mind" juu ya mambo ya kitaalamu, haimpi mtu kuwa shujaa kwa wale wenye uelewa, pengine kwa wale wajinga ambao wanamzunguka na kumshauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaofunga vioo wapo ndani sie tupo nje, hapo hakuna tatizo. Wakikosa pumzi watafungua tu.
Mungu atusaidie,Zambia ni middle income country,Kenya ni middle income country,Rwanda inakaribia huko.Tanzania bado tunahangaika na vyoo Bora,kunawa mikono ukitoka chooni,kuwalinda vipepeo and the like huku over 40%ya budget yetu ikimtegemea beberu.Je hapo unajiona uko ndani we?I am so sorry
 
hujui hujielewi wewe.. lini Rwanda na Zambia walimfikia Tanzania kiuchumi
 
Jembe haswa
Ameongea kivizuri sana leo.. aendelee hivyo hivyo😊 namtumia 💕.. mumfikishie

Magufuli oyeeeeee
 

Kidume wa kweli huwa hajifungii chattle wakati wa majanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…