Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nampongeza JPM kwenye sekta ya afya. Vituo vingi vya afya vizuri vimejengwa mpaka vijijini.Kwahili mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nakichukulia sekta ya afya kama jwtz kwa unyeti wake kwasababu Paramount goal yake ya kwanza ni kulihami taifa kwenye kipindi cha madhila.

Kwahili la afya Kongole mzee baba.

Superbug.
 
Nafwatilia Sana vituo vya afya vya kisasa vilivyojengwa huko vijijini Tanzania ni majengo mazuri Sana .

Kwenye miaka ya tisini kuja 2000 ukiona jengo zuri kwenye vijiji vya Tanzania ni aidha shule ya msingi kwenye mradi wa PEDP au shule za secondary kwenye mradi wa SEDP ila kwa Sasa zahanati zinapendeza Sana na hivyo vituo vya afya.

Changamoto ya wataalamu wanaoweza ku oparet hizo mashine za kisasa vijijini sijui zikoje ila pia huo mradi wa REA wa umeme vijijini ni Jambo kubwa Sana litakalofanya hivyo vituo vya afya vifanye kazi kwa ufanisi.
 
Nampongeza JPM kwenye sekta ya afya. Vituo vingi vya afya vizuri vimejengwa mpaka vijijini.Kwahili mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nakichukulia sekta ya afya kama jwtz kwa unyeti wake kwasababu Paramount goal yake ya kwanza ni kulihami taifa kwenye kipindi cha madhila.

Kwahili la afya Kongole mzee baba.

Superbug.

..kama hawatibu utaita ni kituo cha afya?
 
Huu uzi usipofutwa/ kuunganishwa, nidai milioni 1, hapo umegusa pabaya, utaibua hisia za chuki na wivu, ...
 
Pale fake news zinazopotumika kama propaganda.
Ukweli ni kuwa ni mwanawe marehe Ali ndio alisifia.
Si wote kama unavyotaka kudanganya watu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeangalia hiyo video au unakuja na upuuzi kama kawaida ya wapuuzi? Umefanya utafiti? Kwa taarifa yako niko kwenye kundi la blacks in the world, na wengi wanamsifia Magufuli, hiyo ni moja ya link nyingi zinazomsifu. Wewe huna taarifa yoyote wala hujui chochote halafu unajifanya unajua yote kama kawaida ya watoto wa kitanzania.
 
Huu uzi usipofutwa/ kuunganishwa, nidai milioni 1, hapo umegusa pabaya, utaibua hisia za chuki na wivu, ...
Kwani watanzania wapuuzi hivyo na kuchukia habari muhimu na za kweli? Kama ni hivyo basi siye ni masikini wa akili.
 
Askofu wa wajinga, aangalie kwanza kashfa alizonazo za kueneza ukabila na kadhalika kabla mtu hajamsikiliza askofu wa wajinga.
Alipokuwa upande wenu akimdhalilisha Dr. Slaa mlimuona lulu. Leo kawaacha kwenye mataa mnamnanga. Vituko ni vingi, kila siku kinazaliwa kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Kweli huyu tutamuweka kwenye kumbukumbu za taifa letu kama Rais aliyekuwa mkaidi sana, Rais mjuaji wa kila kitu, asiyependa kukosolewa wala kushauliwa,mbishi na anayependa kupewa sifa na utukufu badala ya Mungu aliyemuumba na mtu anayegawa vyeo kwa watu iwapo tu utamlamba miguu au kukubaliana na ujinga anao uwaza yeye. hakika tutamkumbuka kwa hayo machache.
Wanaosema Magufuli hashauriki ni wale ambao maoni yao hayachukuliwi. Wale ambao maoni yao huchukuliwa huona kuwa anashaurika. Kwa mfano: Kabla hata hajaapishwa tulikwisha kusaini mkataba wa ujenzi wa SGR yenye kiwango cha chini na isiyo na tija kwa Taifa. Wengi wanaojua walikosoa na kushauri kuwa tumeingia chaka. Alichukua ushauri wao na tukaona gia ikibadiliwa angani!

Ukiulizwa hapa ni ushauri gani (unaoingia akilini) ambao alipewa akapuuzia utataja upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote uliowataja hawajawahi kukusanya kodi na kuzisimamia, hata JPM hakufanya lolote kabla ya kuwa Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufanya kitu siyo lazima uwe mtawala serikalini. Yaani hatu ukiwa mbunge unaweza fanya kitu na kikawa na tija kubwa kikaonekana. Mbowe kwa mfano, amefanya kazi kubwa kuijenga chadema na upinzani kwa takriban miaka 20. Tatizo kaanza kubomoa alichojenga mwenyewe, tena kwa mikono yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaosema Magufuli hashauriki ni wale ambao maoni yao hayachukuliwi. Wale ambao maoni yao huchukuliwa huona kuwa anashaurika. Kwa mfano: Kabla hata hajaapishwa tulikwisha kusaini mkataba wa ujenzi wa SGR yenye kiwango cha chini na isiyo na tija kwa Taifa. Wengi wanaojua walikosoa na kushauri kuwa tumeingia chaka. Alichukua ushauri wao na tukaona gia ikibadiliwa angani!

Ukiulizwa hapa ni ushauri gani (unaoingia akilini) ambao alipewa akapuuzia utataja upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kosa kubwa sana kujenga SGR ya njia moja (single railway). Hii tayari imeshaifanya SGR yetu kuwa ya karne iliyopita kwani treni hazitaweza kwenda kwa kasi stahiki na kufika kwa muda mfupi kwani kila stesheni itabidi kusubiri dakika kadhaa treni inayoka upande mwingine ifike ili wapishane. Huwezi kuamini SGR yetu itakuwa haina manufaa na itakuwa slow sana na trafiki yake itakuwa ndogo sana. Kwa mara nyingine tumeingia chaka la trillion zisizopungua 10! Alishauriwa hakusikia, akaamrisha kama kawaida yake.
 
Taifa linapata heshima kwa kupuyanga?

Ukweli mchungu ni kuwa nyerere alitengeneza heshima kubwa kwa taifa letu

Leo Magufuli Heshima yote yaivuruga yaani mpaka tunafungiwa mipaka na Zambia, Rwanda, Uganda kwa uzembe tu!.
My friend, corona ni vita kila nchi inapambana kwa mbinu zake. Hata Ulaya nchi zimefungiana mipaka! Nchi nyingi za Nordic kwa mfano zimefunga mipaka yake lakini Sweden wao maisha yanaendelea kama kawa. Na wala usishangae hao wanaotufungia mipaka leo kesho wakaja kuomba chunvi. Msipende kuishi watakavyo wengine. Ishi vile unavyopaswa kuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom