Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Japo mimi ni muhanga wa ajira lakini kila ninapofikiri vizuri sioni wakuijenga Tanzania zaidi ya JPM.

Tuache ushabiki wa kisiasa naomba mniambie nani na amefanya nini au jambo gani zuri mbali na kupiga kelele majukwaani na kwenye media?

Mbatia, Pro Lipumba, Mbowe, Zito, Self, Lisu nk, wamefanya kitendo gani kizuri? Nitafurahi tu kufaham maana huwa nawasikia tu miaka mingi na kama hakuna basi proudly of JPM
Mada kutoka kwa mhanga wa ajira.

Hapa ndio utajua kwanini waafrika IQ zetu ni ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro unaniangusha bana, kwa hiyo uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapa? Kweli? Ji upgrade bana...
Japo mimi ni muhanga wa ajira lakini kila ninapofikiri vizuri sioni wakuijenga Tanzania zaidi ya JPM.

Tuache ushabiki wa kisiasa naomba mniambie nani na amefanya nini au jambo gani zuri mbali na kupiga kelele majukwaani na kwenye media?

Mbatia, Pro Lipumba, Mbowe, Zito, Self, Lisu nk, wamefanya kitendo gani kizuri? Nitafurahi tu kufaham maana huwa nawasikia tu miaka mingi na kama hakuna basi proudly of JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We tuambie kwanza kafanya Mjomba ndani ya miaka ,5 Tofauti nakufanya uchaguzi kila mara
 
Ungeanza kutuambia kuwa JPM kaijenga Tanzania kivipi,ndipo nasi tungekuambia kaibomoa Tanzania kivipi.Kisha tungeweka solution kuwa Maguguli Segerea.LISSU Magogoni.NDUGAI angepelekwa gereza la Ngwala.Makonda ananyongwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo mimi ni muhanga wa ajira lakini kila ninapofikiri vizuri sioni wakuijenga Tanzania zaidi ya JPM.

Tuache ushabiki wa kisiasa naomba mniambie nani na amefanya nini au jambo gani zuri mbali na kupiga kelele majukwaani na kwenye media?

Mbatia, Pro Lipumba, Mbowe, Zito, Self, Lisu nk, wamefanya kitendo gani kizuri? Nitafurahi tu kufaham maana huwa nawasikia tu miaka mingi na kama hakuna basi proudly of JPM
unga wa ndele umekukolea... ila huwezi kuona tatizo km bado upo nyumban/kwa ndugu ukianza kijitegemea majukumu kama yote hutaleta uzi km huu hapa tena nakuhakikishia hilo..
 
Japo mimi ni muhanga wa ajira lakini kila ninapofikiri vizuri sioni wakuijenga Tanzania zaidi ya JPM.

Tuache ushabiki wa kisiasa naomba mniambie nani na amefanya nini au jambo gani zuri mbali na kupiga kelele majukwaani na kwenye media?

Mbatia, Pro Lipumba, Mbowe, Zito, Self, Lisu nk, wamefanya kitendo gani kizuri? Nitafurahi tu kufaham maana huwa nawasikia tu miaka mingi na kama hakuna basi proudly of JPM
Sijatajiwa hata jambo moja au nanyinyi hamfahamu kama Mimi mnasikiasikia majina
 
Taifa linapata heshima kwa kupuyanga?

Ukweli mchungu ni kuwa nyerere alitengeneza heshima kubwa kwa taifa letu

Leo Magufuli Heshima yote yaivuruga yaani mpaka tunafungiwa mipaka na Zambia, Rwanda, Uganda kwa uzembe tu!.
 
Kasukari tu kanamtoa knockout![emoji16][emoji16][emoji16]
EXpnjfXXQAAvh7f.jpg
 
Wanasaccos ya Chadema hawapendi kusikia vitu kama hivi ngoja waje na mapovu ya OMO!
Unajua si rahisi kusema kwa sababu tu ndio upande wake, lakini bila shaka akiwa pekee, akitafakari, uhalisia anauona Ila hataweza kusema wazi si rahisi. Upande unamfunga.
 
Napenda vitu vingi kwa Rais huyu lakini la kulinda heshima ya nchi linanikamata sana.
Yaani hata angeongezewa miaka 20 mbele ninachokiona ni Tanzania kupata heshima kubwa sana mbele ya nchi nyingine.
Ningependa aendelee aise.
Kweli katuletea heshima. Ndiyo maana hata kitaifa kidogo cha Zambia kimetupiga ban kuingia nchini kwao. Hata Malawi kwa kutudharau watatupiga ban kuingia Malawi
 
Tunapata heshima au ndio tunaonekana mandorobo

tyari tushaanza kufungiwa mipaka tushaonekana wapuuzi, cryl kule south juzi ndio alimuona mzee ndorobo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom