darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada kutoka kwa mhanga wa ajira.Japo mimi ni muhanga wa ajira lakini kila ninapofikiri vizuri sioni wakuijenga Tanzania zaidi ya JPM.
Tuache ushabiki wa kisiasa naomba mniambie nani na amefanya nini au jambo gani zuri mbali na kupiga kelele majukwaani na kwenye media?
Mbatia, Pro Lipumba, Mbowe, Zito, Self, Lisu nk, wamefanya kitendo gani kizuri? Nitafurahi tu kufaham maana huwa nawasikia tu miaka mingi na kama hakuna basi proudly of JPM
Japo mimi ni muhanga wa ajira lakini kila ninapofikiri vizuri sioni wakuijenga Tanzania zaidi ya JPM.
Tuache ushabiki wa kisiasa naomba mniambie nani na amefanya nini au jambo gani zuri mbali na kupiga kelele majukwaani na kwenye media?
Mbatia, Pro Lipumba, Mbowe, Zito, Self, Lisu nk, wamefanya kitendo gani kizuri? Nitafurahi tu kufaham maana huwa nawasikia tu miaka mingi na kama hakuna basi proudly of JPM
unga wa ndele umekukolea... ila huwezi kuona tatizo km bado upo nyumban/kwa ndugu ukianza kijitegemea majukumu kama yote hutaleta uzi km huu hapa tena nakuhakikishia hilo..Japo mimi ni muhanga wa ajira lakini kila ninapofikiri vizuri sioni wakuijenga Tanzania zaidi ya JPM.
Tuache ushabiki wa kisiasa naomba mniambie nani na amefanya nini au jambo gani zuri mbali na kupiga kelele majukwaani na kwenye media?
Mbatia, Pro Lipumba, Mbowe, Zito, Self, Lisu nk, wamefanya kitendo gani kizuri? Nitafurahi tu kufaham maana huwa nawasikia tu miaka mingi na kama hakuna basi proudly of JPM
Sijatajiwa hata jambo moja au nanyinyi hamfahamu kama Mimi mnasikiasikia majinaJapo mimi ni muhanga wa ajira lakini kila ninapofikiri vizuri sioni wakuijenga Tanzania zaidi ya JPM.
Tuache ushabiki wa kisiasa naomba mniambie nani na amefanya nini au jambo gani zuri mbali na kupiga kelele majukwaani na kwenye media?
Mbatia, Pro Lipumba, Mbowe, Zito, Self, Lisu nk, wamefanya kitendo gani kizuri? Nitafurahi tu kufaham maana huwa nawasikia tu miaka mingi na kama hakuna basi proudly of JPM
Wanasaccos ya Chadema hawapendi kusikia vitu kama hivi ngoja waje na mapovu ya OMO!Napenda vitu vingi kwa Rais huyu lakini la kulinda heshima ya nchi linanikamata sana.
Yaani hata angeongezewa miaka 20 mbele ninachokiona ni Tanzania kupata heshima kubwa sana mbele ya nchi nyingine.
Ningependa aendelee aise.
Unajua si rahisi kusema kwa sababu tu ndio upande wake, lakini bila shaka akiwa pekee, akitafakari, uhalisia anauona Ila hataweza kusema wazi si rahisi. Upande unamfunga.Wanasaccos ya Chadema hawapendi kusikia vitu kama hivi ngoja waje na mapovu ya OMO!
Knockout! Ninavyojua, mkosoaji lazima atafute kile anachopata kati ya mamia na maelfu yanayoweza kuwepo. Ni kazi rahisi kukosoa kuliko kutenda. Heshima kwa rais, anastahiliKasukari tu kanamtoa knockout![emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 1446157
Kweli katuletea heshima. Ndiyo maana hata kitaifa kidogo cha Zambia kimetupiga ban kuingia nchini kwao. Hata Malawi kwa kutudharau watatupiga ban kuingia MalawiNapenda vitu vingi kwa Rais huyu lakini la kulinda heshima ya nchi linanikamata sana.
Yaani hata angeongezewa miaka 20 mbele ninachokiona ni Tanzania kupata heshima kubwa sana mbele ya nchi nyingine.
Ningependa aendelee aise.
Umechagua sukari lazima utaona sukari.Nani ataiheshimu nchi ambayo watu wake wanakunywa chai kwa Big G baada ya kukosa sukari
Nani ataiheshimu nchi ambayo watu wake wanakunywa chai kwa Big G baada ya kukosa sukari