Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Huyo bora acheze * nashangaa nawaumini wake niwatu wanamna gani? Mtu anayewala kondoo wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akihubiri Kanisani kwake leo askofu Gwajima amewawekea video clip ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa leo Ikulu ndogo ya Chato.
Askofu Gwajima amesema alichofanya Rais Magufuli ni ujasiri ambao haujawahi kuonyeshwa na kiongozi yoyote duniani.
Hotuba hii ingetolewa na Trump wa USA au Johnson wa UK ingekuwa ndio habari kuu ya dunia kwa sasa lakini kwa sababu imezungumzwa na kiongozi wa Afrika haitapewa uzito wa juu.
Gwajima amesema siyo kwamba anamfagilia Rais Magufuli bali ukweli ni kwamba Dr Magufuli ni chaguo la Mungu.

Askofu wa wajinga na kuwazibua mtr kondooAkihubiri Kanisani kwake leo askofu Gwajima amewawekea video clip ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa leo Ikulu ndogo ya Chato.
Askofu Gwajima amesema alichofanya Rais Magufuli ni ujasiri ambao haujawahi kuonyeshwa na kiongozi yoyote duniani.
Hotuba hii ingetolewa na Trump wa USA au Johnson wa UK ingekuwa ndio habari kuu ya dunia kwa sasa lakini kwa sababu imezungumzwa na kiongozi wa Afrika haitapewa uzito wa juu.
Gwajima amesema siyo kwamba anamfagilia Rais Magufuli bali ukweli ni kwamba Dr Magufuli ni chaguo la Mungu.
Ngoja wachawi waamkeNatamani Bunge la linalomaliza lipitishe kuwepo kwa nishani iliyotukuka ya utumishi wenye mapenzi makubwa kwa Taifa, kwa mtu atakayejitoa bila hila moyoni kulitumikia Taifa na kuacha alama za utumishi wake atunukiwe nishani hiyo, na ninapendekeza ianze na JPM.
Aliyoyafanya yako wazi wala siyo ya kutafitiza. Hata baada ya miaka 100 watu wataandika na kutafuta habari za mtu huyu alikuwa Wa namna gani. Tuwe na Tabia kutunza watu wanaofanya mambo ya kutukuka hata kabla hawajafa.
Tunaposema pengo halizibiki, la JPM halitazibika hata akistaafu baada ya kumaliza kipindi chake, ni Mtu Wa tofauti sana