EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
Wengi mnaotaja taja Zambia, sijui Malawi ni kwa kuwa humjaona malalamiko ya wananchi wao (mipakani) juu ya ugumu wa maisha baada ya mipaka kufungwa. Kama mmeangalia azamtv habari (utv) jana mtakuwa mnaelewa nazungumzia nini.Kweli katuletea heshima. Ndiyo maana hata kitaifa kidogo cha Zambia kimetupiga ban kuingia nchini kwao. Hata Malawi kwa kutudharau watatupiga ban kuingia Malawi
Sent using Jamii Forums mobile app