Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Rais Magufuli ni jembe kila mtu anajua, ila kuna baadhi ya wasaidizi wake wanapaswa wampishe maana wanamchafulia tuu hasa yule RC na DC fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majina huumba, Sijijui na hajijui kweli, hivi hujui kuwa kuna Watanzania/ waafrika wanamaisha Bora na yakifahari kuzidi raia wengi sana tu From developed countries? Pambana ujenge angalau choo cha kisasa, nyumba ni choo.
 
hujui hujielewi wewe..lini rwanda na zambia walimfikia tanzania kiuchumi
Hahaha Tanzania ipo juu mkuu na ndo maana tunahuruma sana,yaani bora watanzania 55 elfu wafe kwa corona lakini tusiache kumhudumia jirani
 
Majina huumba, Sijijui na hajijui kweli, hivi hujui kuwa kuna Watanzania/ waafrika wanamaisha Bora na yakifahari kuzidi raia wengi sana tu From developed countries? Pambana ujenge angalau choo cha kisasa, nyumba ni choo.
Hahahah aisee?
 
kama kuna Mtanzania yeyote ameshindwa kutambua kuwa Magufuli anapita mule mule alimopita Mugabe.... Mtanzania huyo ni taahira!
 
Jembe la kulimia ugoro Chato ??? Tena limewekwa store linaogopa kupata kutu za corona ?? Ateremke hapa dar kama yeye ni Jembe kweli , ??
 
kama kuna Mtanzania yeyote ameshindwa kutambua kuwa Magufuli anapita mule mule alimopita Mugabe.... Mtanzania huyo ni taahira!

Kwa hili la ku defy mbinu zinazokubalika kimataifa kupambana na Covid 19, tujiandae kuuona uso wa kweli wa ubeberu bila kujali kuwa tuko sahihi kwa hali yetu au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…