Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Rais Magufuli ni jembe kila mtu anajua, ila kuna baadhi ya wasaidizi wake wanapaswa wampishe maana wanamchafulia tuu hasa yule RC na DC fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atusaidie,Zambia ni middle income country,Kenya ni middle income country,Rwanda inakaribia huko.Tanzania bado tunahangaika na vyoo Bora,kunawa mikono ukitoka chooni,kuwalinda vipepeo and the like huku over 40%ya budget yetu ikimtegemea beberu.Je hapo unajiona uko ndani we?I am so sorry
Majina huumba, Sijijui na hajijui kweli, hivi hujui kuwa kuna Watanzania/ waafrika wanamaisha Bora na yakifahari kuzidi raia wengi sana tu From developed countries? Pambana ujenge angalau choo cha kisasa, nyumba ni choo.
 
hujui hujielewi wewe..lini rwanda na zambia walimfikia tanzania kiuchumi
Hahaha Tanzania ipo juu mkuu na ndo maana tunahuruma sana,yaani bora watanzania 55 elfu wafe kwa corona lakini tusiache kumhudumia jirani
 
Majina huumba, Sijijui na hajijui kweli, hivi hujui kuwa kuna Watanzania/ waafrika wanamaisha Bora na yakifahari kuzidi raia wengi sana tu From developed countries? Pambana ujenge angalau choo cha kisasa, nyumba ni choo.
Hahahah aisee?
 
Upepo wake upo vizuri sana. Now akitoa hotuba nchi nzima inatikisika...2020 kesho kutwa anachukua nchi kilaini sana. Nawaombea ndugu zangu wapinzani wapate majimbo angalau bungeni wale wanaosema ndiyoooooo mzeeeeee wasiwe wengi. But kwa kura za Urais...Magufuli unayo kura yangu..na mke wangu.

KWA sasa hakuna Rais bora AFRIKA KAMA MAGUFULI.. Magufuli ni kidume hasa... mwanaume asiyeyumbishwa...kuna wahuni walitaka afunge mpaka... then tufe njaa au.. MAGUFULI kanyaga hapo hapo mzee.
kama kuna Mtanzania yeyote ameshindwa kutambua kuwa Magufuli anapita mule mule alimopita Mugabe.... Mtanzania huyo ni taahira!
 
.
Screenshot_20200517-191936.jpg

Jembe la kulimia ugoro Chato ??? Tena limewekwa store linaogopa kupata kutu za corona ?? Ateremke hapa dar kama yeye ni Jembe kweli , ??
 
kama kuna Mtanzania yeyote ameshindwa kutambua kuwa Magufuli anapita mule mule alimopita Mugabe.... Mtanzania huyo ni taahira!

Kwa hili la ku defy mbinu zinazokubalika kimataifa kupambana na Covid 19, tujiandae kuuona uso wa kweli wa ubeberu bila kujali kuwa tuko sahihi kwa hali yetu au la.
 
Back
Top Bottom