Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nilikua nagoogle hapa, jamaa yupo serious na TZ,
Hahaa sasa hivi udalali wa magari hakuna malundo,
Hata walengaji wa magari tumepungua
IG @magaribora
Usinifokeeee
Screenshot_20200923-085218.jpg
 
Pole Sana kada, msiemtaka Sasa yupo ndani ya nyumba,huku wenye nchi yao wamechoka tiyari,na hawataki rudi nyuma ,Sasa mkuu mbeleko Wenda ambao mnautegemea nao umeanza kuchanika taratibu ,huu mwaka kada kua mpole na punguza mahaba yasije kuletea vidonda vya tumbo mbele ,Hali ni ngumu Sana msijipe moyo
 
Wanabodi,

Kila wakati lisu lisu ,Tujadili na habari za mgombea wetu wa ccm mchapa kazi na mwenye maono ya mbali

Imekuwa kama dose ya dawa hospitali sasa kujadili habari za lissu kutwa mara tatu asubuhi ,mchana na jioni

Magufuli amefanya mambo makubwa kama kujenga reli ya kisasa,kununua ndege na Bwawa kubwa la umeme

Maendeleo ya watu ni mazuri hasa bei za vyakula zipo chini ,Hakuna mfumuko wa bei

Mikopo kila kona hasa kwa wanafunzi

Members mtupumzishe mambo ya lissu

Nilishatoa tahadhari hapa kuwa huyo mtu asijibiwe ona sasa chama changu kinashambuliwa bila huruma

Ni muda wa kukaa kimya tuongelee mambo yetu
 
Wanabodi,
Kila wakati lisu lisu ,Tujadili na habari za mgombea wetu wa ccm mchapa kazi na mwenye maono ya mbali..
Haya yote yameongelewa miaka mitano iliyopita. Watu hawakupewa nafasi ya kuongelea siasa, huu ndio muda wao wa kujiachia,,,,,,,,,,,,,,waacheni.
 
Wanabodi,
Kila wakati lisu lisu ,Tujadili na habari za mgombea wetu wa ccm mchapa kazi na mwenye maono ya mbali

Imekuwa kama dose ya dawa hospitali sasa kujadili habari za lissu kutwa mara tatu asubuhi ,mchana na jioni

Magufuli amefanya mambo makubwa kama kujenga reli ya kisasa,kununua ndege na Bwawa kubwa la umeme

Maendeleo ya watu ni mazuri hasa bei za vyakula zipo chini ,Hakuna mfumuko wa bei

Mikopo kila kona hasa kwa wanafunzi

Members mtupumzishe mambo ya lissu

Nilishatoa tahadhari hapa kuwa huyo mtu asijibiwe ona sasa chama changu kinashambuliwa bila huruma

Ni muda wa kukaa kimya tuongelee mambo yetu
Au sio sisi hayo masgr hatuyataki tunataka 'haki'
 
Kama miaka 5 haijatosha kueleweka, basi tena.......tusubirie hisani za NEC.
By the way, mbona viwanda havizungumzwi tena?.
 
Wanabodi,
Kila wakati lisu lisu ,Tujadili na habari za mgombea wetu wa ccm mchapa kazi na mwenye maono ya mbali..
Kama miaka 5 haijatosha kueleweka, basi tena.......tusubirie hisani za NEC.
By the way, mbona viwanda havizungumzwi tena?.
 
Iyo miaka mi 5 yote si wame sikika wao tu..miezi michache tu ime tosha kuwa toa jasho...subiri 28 oct kwa siri sana
 
Wao (CCM) wamemjadili huyo mjenga madaraja wao kwa miaka mitano.

Sasa wawaache watanzania wamjadili mkimbozi wao Lissu.
 
Iko chama chenu hakina mvuto wowote tukijadili ili iweje sasa?
 
Ndugu zangu naomba nianze kwa kunukuu kiapo cha Rais John Pombe Magufuli siku ile ya tarehe 05/11/2015 mbele ya Jaji Kiongozi Mh. Mohamed Chande Othman katika uwanja wa Uhuru baada ya kutangazwa mshindi wa Urais na Tume ya Uchaguzi chini ya Jaji mstaafu Damian Lubuva....
UBARIKIWE SANA
 
Wanabodi,

Kila wakati lisu lisu ,Tujadili na habari za mgombea wetu wa ccm mchapa kazi na mwenye maono ya mbali

Imekuwa kama dose ya dawa hospitali sasa kujadili habari za lissu kutwa mara tatu asubuhi ,mchana na jioni

Magufuli amefanya mambo makubwa kama kujenga reli ya kisasa,kununua ndege na Bwawa kubwa la umeme

Maendeleo ya watu ni mazuri hasa bei za vyakula zipo chini ,Hakuna mfumuko wa bei

Mikopo kila kona hasa kwa wanafunzi

Members mtupumzishe mambo ya lissu

Nilishatoa tahadhari hapa kuwa huyo mtu asijibiwe ona sasa chama changu kinashambuliwa bila huruma

Ni muda wa kukaa kimya tuongelee mambo yetu
😀 😀 Lissu ni kama Maji, usipoyaoga, utayanywa. usipoyanywa, utanywea dawa. Usiponywea dawa, utayapikia. usipoyapikia, utayafulia.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kama kawaida yangu na mada za kizalendo zaidi, tumeshuhudia kundi la vijana likiwa linajitokeza kwenye mikutano ya kuomba ridhaa kwa mgombea Urais kupitia CHADEMA wengi wakiwa wanamjaza sifa mtu huyo kwa kumuita rais.

Sasa nimejiuliza maswali mengi sana ni kwanini watanzania ni wasahaulifu kiasi hiki maana kama wasingekuwa wasahaulifu lissu hakupaswa kupata watu hata mia.

Watanzania wamesahau ni namna gani Rais Magufuli amefanya yale ambayo yalilalamikiwa na watanzania walio wengi. Leo watanzania wamesahau kero nyingi zilizotatuliwa na Rais Huyu wamekuwa watu wa kushadadia mambo ambayo hawayajui watayapataje,pesa itatoka wapi na athari zake ni nini.

Rais Magufuli amefanya mambo makubwa sana ambayo najua wazungu kamwe hawapendi Afrika kumpata mtu kama yeye mwenye misimamo isiyoyumbishwa, mfano mzuri ni alivyoamua kujenga bwawa la Mwalimu Nyerere na kupinga sheria zao kandamizi na pia alivyoamua kutofuata utaratibu wa dunia wa kukabiliana na ugonjwa wa corona kwa kuwafungia watu ndani na watanzania wakaendelea kufanya kazi, awa machinga wangefungiwa wangeishi vipi tufike mahali tuwe na kumbukumbu tusifanye maamuzi ambayo tutayajutia milele watu kama magufuli utokea mara chache sana hasa huku afrika ambako kila kitu tunataka tutegee kutoka ulaya,asanteni.
 
Back
Top Bottom