Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kiukweli na pasina shaka Rais Magufuli amefanya mambo mengi sana katika taifa hili la Tanzania hasa Ujenzi wa barabara, kuzirejesha meli zilizokuwa hazifanyi kazi kwa muda mrefu, kukarabati shule kongwe zilizokuwa zimechakaa mfano Pamba Secondary ya Mwanza ilikuwa imejaa popo ukiiangalia sasa hivi imekuwa kama mpya na nyingine nyingi,

Kuanzisha ujenzi wa treni ya mwendo kasi SGR, Kuboresha jiji la Dar es Salaam, kuhamishia makao makuu Dodoma. Kuanza safari za treni kutoka Dar mpaka Arusha , Kuboresha huduma za Afya, Usambazaji wa umeme vijijini mfano siku nilipotembelea kijiji cha wazazi wangu na kukuta umeme unawaka sikuamini kabisa lakini ndivyo hivyo.

Nawaasa vijana tusipendelee sana ushabiki wa kisiasa katika mitandao tuwe wazalendo wakufanya mambo yanayohihusu jamii kubwa na sio kujiangalia wewe kama wewe hujafanyiwa nini Rais unayemtuhumu kila siku ni kutoa matusi yasiyoleta tija kwa jamii.
 
gersonmsigwa_20200916_1.jpg
gersonmsigwa_20200916_5.jpg
gersonmsigwa_20200916_3.jpg

Wape salam zao, hii muleba tukiwa njian kwenda kukiwasha Bukoba ,.... Zimebak sku 43 za yeye kutukana alaf arud ubelgiji kurudisha ripoti Kwa Wale waliomtuma
 
Kiukweli na pasina shaka Rais Magufuli amefanya mambo mengi sana katika taifa hili la Tanzania hasa Ujenzi wa barabara, Kuzirejesha meli zilizokuwa hazifanyi kazi kwa muda mrefu, Kukarabati shule kongwe zilizokuwa zimechakaa mfano Pamba Secondary ya Mwanza ilikuwa imejaa popo ukiiangalia sasa hivi imekuwa kama mpya na nyingine nyingi, Kuanzisha ujenzi wa treni ya mwendo kasi SGR, Kuboresha jiji la Dar es Salaam, Kuhamishia makao makuu Dodoma. Kuanza safari za treni kutoka Dar mpaka Arusha , Kuboresha huduma za Afya, Usambazaji wa umeme vijijini mfano siku nilipotembelea kijiji cha wazazi wangu na kukuta umeme unawaka sikuamini kabisa lakini ndivyo hivyo. Nawaasa vijana tusipendelee sana ushabiki wa kisiasa katika mitandao tuwe wazalendo wakufanya mambo yanayohihusu jamii kubwa na sio kujiangalia wewe kama wewe hujafanyiwa nini Rais unayemtuhumu kila siku ni kutoa matusi yasiyoleta tija kwa jamii.
Hudumia familia yako vizuri - chakula, malazi, mavazi, outing, n.k, ila usiwape uhuru wa kuzungumza ikiwemo kuwapiga kila siku halafu uone kama utapendwa.
 
Kiukweli na pasina shaka Rais Magufuli amefanya mambo mengi sana katika taifa hili la Tanzania hasa Ujenzi wa barabara, Kuzirejesha meli zilizokuwa hazifanyi kazi kwa muda mrefu, Kukarabati shule kongwe zilizokuwa zimechakaa mfano Pamba Secondary ya Mwanza ilikuwa imejaa popo ukiiangalia sasa hivi imekuwa kama mpya na nyingine nyingi, Kuanzisha ujenzi wa treni ya mwendo kasi SGR, Kuboresha jiji la Dar es Salaam, Kuhamishia makao makuu Dodoma. Kuanza safari za treni kutoka Dar mpaka Arusha , Kuboresha huduma za Afya, Usambazaji wa umeme vijijini mfano siku nilipotembelea kijiji cha wazazi wangu na kukuta umeme unawaka sikuamini kabisa lakini ndivyo hivyo. Nawaasa vijana tusipendelee sana ushabiki wa kisiasa katika mitandao tuwe wazalendo wakufanya mambo yanayohihusu jamii kubwa na sio kujiangalia wewe kama wewe hujafanyiwa nini Rais unayemtuhumu kila siku ni kutoa matusi yasiyoleta tija kwa jamii.
Anachukiwa na watoa rushwa, mafisadi na madubwasha yasiyosingatia sheria na taratibu za nchi.

Wengi tunampenda Magu
 
Kiukweli na pasina shaka Rais Magufuli amefanya mambo mengi sana katika taifa hili la Tanzania hasa Ujenzi wa barabara, Kuzirejesha meli zilizokuwa hazifanyi kazi kwa muda mrefu, Kukarabati shule kongwe zilizokuwa zimechakaa mfano Pamba Secondary ya Mwanza ilikuwa imejaa popo ukiiangalia sasa hivi imekuwa kama mpya na nyingine nyingi, Kuanzisha ujenzi wa treni ...
Wananchi tunampenda na tumejiandaa kumchagua Tena kwani Tanzania unahitaji Sana Magufuli kuliko Magufuli anavyohitaji Tanzania sisi tunatamani tumuongezee hata muda kwa maendeleo aliyoyafanya ndani ya miaka 5 tu nchi inazidi kuimarika katika kila nyanja Sina sababu ya kuorodhesha manake hayo yanaonekana kila mahali nchi hii imeguswa kwa maendeleo kwa hyo suala la kusema anachukiwa binafsi natamani wakati mwingine watu wakishatoa maoni ya hovyo wakapimwe hata uwezo wao wa kufikiri.

Halafu hao ndio utakuta nao wanataka kuwa viongozi bila hata aibu yani mtu anapiga kampeni nchi nzima kwa barabara za lami anaona umeme hadi vijijini anaona ATCL imefufuliwa viwanda vimeongezeka miradi mikubwa ya maji miradi mikubwa ya ujenzi Kama stand n.k

vyote hivyo anaviona for the naked eyes bado anasema Magufuli hajafanya chchte? Mi ndio maana wapinzani wa nchi hii siwaelewi. Sisi wananchi tupo pamoja na Magufuli manake nchi inasonga hatutaki wahuni sisi tunapaswa tuwe na focus ya miaka mingi ya baadae kwa vizazi vijavyo nchi inatakiwa iwe na misingi na mifumo mizuri ambayo ndio Magufuli anahangaika kutengeneza. Sasa unapoona mtu anasema ana akili timamu anafanyiwa mambo mazuri anakataa sasa akili kumkichwa.
 
Mbona inatumika nguvu kumtetea Magufuli???? Fly overs, SGR, Barabara, Maji Afya havijajengwa uvunguni vinaonekana, kama ni Haki yake kura atapata.
 
1. Kuboresha Jiji la Dar es salaam, tafuta mwenyewe Mradi wa Kuboresha Miundombinu Dar na utakuta ni project ambayo ilisainiwa na kuwa funded wakati wa JK na Magu amekuja kuendeleza tu.

Dar es salaam

Project detail:-
Dar.png


For more: Dar es salaam Metropolitan Development Project!

2. Kuhamisha Makao Makuu kwenda Dodoma... kwa maskini kama mimi hilo linaniongezea njaa tu kwa sababu hatimae serikali wanatumia additional cost kufanya jambo kama hilo! Hao hao akina Ndugai wanatosha wakishangilia ndo maana yupo tayari hata kupigwa....

3. Umeme Vijijini... Huu nao ni mradi nao kaukuta, na mtu ambae aliusimamia kwa nguvu zote ni Prof Muhongo Awamu wa IV!!

Magu hapa amepokea kijiti tu!!

4. Reli Arusha:- Hivi nani aliwaambia Arusha wana shida ya usafiri hata muwapelekee matreni ya kizamani?

5. SGR... Mradi wa SGR ulikuwepo tangu zamani, tofauti ni kwamba estimation za awali ambazo hadi mkandarasi alipatikana ilikuwa USD 7.6 Billion, Magu akapiga chini kwa madai kuna upigaji!

Hadi hapa tunaposema, hata nusu ya ujenzi haijafika lakini tayari mradi umeshakula karibu nusu ya thamani iliyokuwa imepangwa awali aliyosema kuna upigaji!

Kwa maana nyingine, wakati alipiga chini ujenzi utakaogharimu USD 7.89 Billion kuna uwezekano MKUBWA yeye akajenga kwa zaidi ya USD 7.6 Billion... sasa huyu ndo wa kumsifia? Aliona mradi wa awali kulikuwa na upigaji au alitaka mkandarasi mwingine ili apige yeye?!
 
Back
Top Bottom