Japhet Karibu
Member
- Feb 27, 2020
- 79
- 129
Kiukweli na pasina shaka Rais Magufuli amefanya mambo mengi sana katika taifa hili la Tanzania hasa Ujenzi wa barabara, kuzirejesha meli zilizokuwa hazifanyi kazi kwa muda mrefu, kukarabati shule kongwe zilizokuwa zimechakaa mfano Pamba Secondary ya Mwanza ilikuwa imejaa popo ukiiangalia sasa hivi imekuwa kama mpya na nyingine nyingi,
Kuanzisha ujenzi wa treni ya mwendo kasi SGR, Kuboresha jiji la Dar es Salaam, kuhamishia makao makuu Dodoma. Kuanza safari za treni kutoka Dar mpaka Arusha , Kuboresha huduma za Afya, Usambazaji wa umeme vijijini mfano siku nilipotembelea kijiji cha wazazi wangu na kukuta umeme unawaka sikuamini kabisa lakini ndivyo hivyo.
Nawaasa vijana tusipendelee sana ushabiki wa kisiasa katika mitandao tuwe wazalendo wakufanya mambo yanayohihusu jamii kubwa na sio kujiangalia wewe kama wewe hujafanyiwa nini Rais unayemtuhumu kila siku ni kutoa matusi yasiyoleta tija kwa jamii.