Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hata kama angepandisha kwa 100% bado haitoshi

na hajafika hata 1/4 ya mzee Kikwete na kiburi chake.

Wazee wetu wastaafu wanaonesha maisha halisi ya watumishi yalivyo hapo baadae.

Viinua mgongo na pension ndio vimekuwa vyanzo vya fedha kwa serikali badala ya huduma kwa wazee wetu

Huwezi kutumia pension kujengea flyover huku wastaafu wakifa kwa njaa na mawazo

Rais Magufuli ni muuaji,

Ni mtu aliyejaa kibri,

Hasikilizi shida za watu kwa lengo la kuguswa na kuzitatua,

Bali kwa lengo la kujionesha kisiasa kama ni mtu wa watu

Inabidi aache maigizo avae uhalisia ili awe kiongozi bora

Watumishi, wameminywa sana haki zao kipindi chake

Wote wenye akili lazima wayalaani yote haya.
 
Huwezi kusema kama unaona mishahara mnayolipwa ni midogo acha kazi wakati umeweka sheria ya kuondoa fao lakujitoa ili mtu asiondoke na chake

Bado kiinua mgongo kinakunufaisha kwenye miradi inayokubeba kisiasa.

Wakati yeye na wabunge wake huchukua vyao vyote mara tu wanapostaafu
 
Hata kama angepandisha kwa 100% bado haitoshi

na hajafika hata 1/4 ya mzee Kikwete na kiburi chake.

Wazee wetu wastaafu wanawaonesha maisha ya watumishi yalivyo hapo baadae.

Viinua mgongo na pension ndio vimekuwa vyanzo vya fedha kwa serikali badala ya huduma kwa wazee wetu

Huwezi kutumia pension kujengea flyover huku wastaafu wakifa kwa njaa na mawazo

Rais Magufuli ni muuaji,

Ni mtu aliyejaa kibri,

Hasikilizi shida za watu kwa lengo la kuguswa na kuzitatua,

Bali kwa lengo la kujioneshani mtu wa watu

Inabidi aache maigizo avae uhalisia ili awe kiongozi bora

Watumishi, wameminywa sana haki zao kipindi chake

Wote wenye akili lazima wayalaani yote haya.

Magufuli ni hasara kwa Taifa. Lazima 28/10/2020 aondoke Ikulu.
 
Hyo miaka mingi ambayo hawakupandishwa madaraja ni mingapi.
Hajapandisha mishahara kwa miaka mitano je ni mingi au michache?
Ingalikua ni Lisu unadhani asingeweza kupandisha mishahara na madaraja?
Pesa za kuwalipa alitoa mfukoni kwake?
Kuna haja gani kuwashwa washwa
Si mlisema watumishi ni wachache kura zao hazina thamani kwenu.

Sasa mwambieni atulie ili mh Lissu aseme nao,

Wanalo jambo lao
 
Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6. Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho. Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea. Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020). Tunakwenda na Rais Magufuli.
Naona ID mpya, haisaidii! Jiwe katili, takwimu hizo hazitawarudisha akina Mawazo, Ben Azory, maiti za sandarusi, hivyo jiondokee humu ufanya kazi zako Sky Eclat Chakaza Salary Slip
 
Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.

Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.

Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.

Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).

Tunakwenda na Rais Magufuli.
Wekeni majina tuwaone.Tuna Jambo letu tarehe 28 October
 
Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6. Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho. Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea. Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020). Tunakwenda na Rais Magufuli.
Duh ila huyu mtu ni muongo haijawahi kutokea ndio maana amekumbatia kila kitu, hatupumui
 
Back
Top Bottom