Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Huu upumbavu wenu toeni hapa. Watu tuna miaka 5 hatujui daraja jipya halafu wewe unaleta ngonjera zako hapa. Kina watumishi kazini kwetu wana zaidi ya miaka 5 hawajapandishwa cheo. Takutukana
 
Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.

Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.

Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.

Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).

Tunakwenda na Rais Magufuli.
Kweli wamenufaika sanaaaaa.Ndo maana wanazidi kunung'unika
 
Wewe Umekuja kufanya uchochezi Ili Watumishi wakasirike ..Bora Ungekaa kimya.
 
Watumishi wa nchi gani hawo? Sisi Hadi Leo hatujalipwa malimbikizo yanayotokana na mishahara baada ya kupanda madaraja 2015. Wengine walikuja kunyang'anywa madaraja hayo miaka 2 baadaye na kurudishwa madaraja ya zamani. Sijui huyo anawazungumzia watumishi gani wakati alisema hakuchaguliwa ili aongeze mishahara. Kura zetu zisituletee uongo huu
 
Natamani nikutolee tusi we mtoa mada ila nikiangalia tusi ambalo natamani nikupe naona haliendani na hadhi yangu
 
Ndugu yangu, hawa ni watumishi wa aina zote na kada zote. Watumishi wenyewe wanajua walivyonufaika na wana jambo lao la kufanya tarehe 28 Okt. Ni kumpa kura zote JPM
Leta ushahidi, mm ni mtumishi hakuna daraja lolote nililopandishwa na hali no hiyo hiyo kwa mke wangu ambaye pia ni mtumishi, wafanyakazi wenzetu wote pia salary slip zinasoma vilevile.. Mwaka wa tano sasa.. Unaandika mambo kujihadaa mwenyewe...
 
Mkuu hao watumishi ni wepi? Usitishike na hyo idadi ni uwongo, watumishi waliopandishwa ni wachache sana tofauti na wanaostahili kupandishwa.Wako watumishi wana miaka saba tangu waajiriwe hawajawahi pandishwa madaraja kamwe.Liko kundi La watumishi pia hawajapandishwa madaraja yao kwa kisingizio cha wao kuwepo masomoni kinyume na sheria wala kanuni za utumishi wa umma.wafanyakazi wa umma hawajapandishwa mishahara yao kwa miaka mitano mfululizo kinyume na sheria.jpm wafanyakazi kawatupa mno.Mtumishi wa umma atakayempa kura jpm hajipendi hata mwenyewe.
 
Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.

Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.

Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.

Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).

Tunakwenda na Rais Magufuli.
Ukimaliza hii uje useme pia umeondoa fao la kustaafu sasa mtumishi atachukua Pesa zake zote pindi atakapostaafu!!
 
Acha kuwachonganisha na familia zao. Nyumbani familia hazioni mabadiliko.
 
Takwimu hizi zimeandaliwa Lumumba.
Ni aibu kwa CCM kupikapika data kwa kiasi cha uwendawazimu kama tunachokiona.
 
Bora umetaka kujua ni wa idara zipi . Mkuu ni wa idara zote.

Sekta ya afya ni miongoni mwa watumishi waliogota miaka mingi bila kipandishwa vyeo kabla ya utawala wa Rais Magufuli, ila kwa sasa wengi sana wamepandishwa madaraja. Fanya utafiti japo kwa wachache utapata ukweli huu.

Bahati nzuri wao watumishi wanajua ukweli huu na watatoa appreciation yao kwa kumpa kura nyingi Mhe Rais Magufuli.
Hakuna kitu Kama hicho ,watumishi ni ndugu zetu may be idara zingine but sio afya na elim, mbona wanalalamika
 
Acha UONGO KENGE WEWE .....hao watumishi tupo nao mtaani huku hakuna aliyepanda daraja. Labla watu wenu ninyi pamoja na MAJESHI.
 
Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.

Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.

Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.

Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).

Tunakwenda na Rais Magufuli.
Baaada ya lissu kumlegeza Jiwe
 
Huoni aibu mataga?
 
Sikia ndugu, kama Mtanzania (siasa tuweke pembeni) linapokuja swala sensitive kama la stahiki za watumishi na mafao yao!! Tuungane kuyakosoa, cha msingi umeona hapa kila mtu anaccoment kwamba hakuna kilichoongezeka!!

Maana yake ni nini? Utawala una madhaifu katika upande wa HR!

Inaonekana pana ukweli fulani!! Tuweke siasa pembeni tulipigie hili kelele ili kuimarisha utawala uliopo katika nyanja ya HR, kujaribu kulipindisha na kuongopa ni kuficha janga ambalo linaweza kukuathiri mwenyewe, mkeo, watoto, wazazi au hata ndugu zako!!

Tusimame pamoja na watumishi tuseme "yaliyotokea siyo fair, Magu jaza kibubu cha watumishi tukuelewe"
 
Watumishi wa umma wamenufaika sana na utawala wa Rais Magufuli, 306,917 wamepandishwa vyeo na madaraja na kulipwa madai yao mbalimbali ya jumla ya shilingi bilioni 472.6.

Kati ya hizo shilingi bilioni 114.5 yalikuwa ni madeni ya mishahara na shilingi bilioni 358.1 yalikuwa ni madeni yasiyokuwa ya mishahara kama vile uhamisho.

Watumishi wengi wa umma ni mashahidi jinsi walivyopandishwa vyeo na madaraja wakati wa utawala wa Rais Magufuli baada ya kugota katika madaraja hayo kwa miaka mingi. Kupandisha watumishi 306,917 kati ya watumishi takriban 500,000 wa umma haijawahi kutokea.

Viva Rais Magufuli, viva watumishi wa umma. Kura zetu tunampa Mhe Rais Magufuli. (Source za takwimu ni hotuba ya Rais Magufuli akifunga Bunge tarehe 16 Juni 2020).

Tunakwenda na Rais Magufuli.
Baada ya kupandishwa huku, ni lini tena tutegemee kupandishwa? Au ilani inasema kuwa kupandishwa na kulipwa ni miaka mi5mi5 naomba mwongozo hapa pengine sikuwa na uvumilivu tu pesa zangu zilikuwa zimehifadhiwa salama ili nizipokee wakati huu
 
Back
Top Bottom