Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hata kama angepandisha kwa 100% bado haitoshi

na hajafika hata 1/4 ya mzee Kikwete na kiburi chake.

Wazee wetu wastaafu wanaonesha maisha halisi ya watumishi yalivyo hapo baadae.

Viinua mgongo na pension ndio vimekuwa vyanzo vya fedha kwa serikali badala ya huduma kwa wazee wetu

Huwezi kutumia pension kujengea flyover huku wastaafu wakifa kwa njaa na mawazo

Rais Magufuli ni muuaji,

Ni mtu aliyejaa kibri,

Hasikilizi shida za watu kwa lengo la kuguswa na kuzitatua,

Bali kwa lengo la kujionesha kisiasa kama ni mtu wa watu

Inabidi aache maigizo avae uhalisia ili awe kiongozi bora

Watumishi, wameminywa sana haki zao kipindi chake

Wote wenye akili lazima wayalaani yote haya.
 
Huwezi kusema kama unaona mishahara mnayolipwa ni midogo acha kazi wakati umeweka sheria ya kuondoa fao lakujitoa ili mtu asiondoke na chake

Bado kiinua mgongo kinakunufaisha kwenye miradi inayokubeba kisiasa.

Wakati yeye na wabunge wake huchukua vyao vyote mara tu wanapostaafu
 

Magufuli ni hasara kwa Taifa. Lazima 28/10/2020 aondoke Ikulu.
 
Hyo miaka mingi ambayo hawakupandishwa madaraja ni mingapi.
Hajapandisha mishahara kwa miaka mitano je ni mingi au michache?
Ingalikua ni Lisu unadhani asingeweza kupandisha mishahara na madaraja?
Pesa za kuwalipa alitoa mfukoni kwake?
Kuna haja gani kuwashwa washwa
Si mlisema watumishi ni wachache kura zao hazina thamani kwenu.

Sasa mwambieni atulie ili mh Lissu aseme nao,

Wanalo jambo lao
 
Naona ID mpya, haisaidii! Jiwe katili, takwimu hizo hazitawarudisha akina Mawazo, Ben Azory, maiti za sandarusi, hivyo jiondokee humu ufanya kazi zako Sky Eclat Chakaza Salary Slip
 
Wekeni majina tuwaone.Tuna Jambo letu tarehe 28 October
 
Duh ila huyu mtu ni muongo haijawahi kutokea ndio maana amekumbatia kila kitu, hatupumui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…