πππ
View attachment 1658522
Ukimtaja ben roho inaniuma balaa.
Kwa alivyojiwekea Yeye, asivyojiamini na anavyoendelea pia Kudanganywa na Wanafiki wanaomzunguka 24/7 tunaomkosoa ni Maadui zake zaidi.Yanasemwa mengi sana ila ukweli utabaki kuwa ukweli sio kila anaye kosoa serikali au Mh Rais basi anamchukia Rais au anania mbaya na serikali.
We love our President and we real care him. Mungu amlinde. Nakumtumza kwa manufaa ya Taifa na Raia wote.
Merry Christmas and happy New year 2021
Jamaa ametumia zaidi ya billion 4 kumsaka mshika nyundo ila hajafua dafu!Ahsante sana Mkuu kwa hii kitu nimeshaihifadhi kwenye makabrasha yangu. ππ
Mimi nawaomba warombo wafanye lile tambiko lao tuu potelea pwete ilambe kila mhusika. Yaan mpk aliyepata njama ni safari. Watu wanakatika kama upepoHuwa nawaza sana kuhusu wazazi wake ndugu, jamaa na marafiki ambao juhudi zao angalau za kuupata mwili zimeshindikana na mbaya zaidi serikali na polisiccm wako kimya kabisa.
Jamaa ametumia zaidi ya billion 4 kumsaka mshika nyundo ila hajafua dafu!
Natamani na Mimi ningekua na hicho kibarua mlichonacho ninyi naskia mnalipwa vizuri [emoji28][emoji28][emoji28]Wamekata tamaa kwani juhudi zao za kuanika jina lake hadharani na Nchi anayoishi ili kumtisha na hivyo kumnyamazisha hazijafua dafu na sasa jamaa amecharuka katika kupambana na huyo anayejiita mwendawazimu.
Dah!...pole sana mpendwa.Ukimtaja ben roho inaniuma balaa.
Natamani na Mimi ningekua na hicho kibarua mlichonacho ninyi naskia mnalipwa vizuri [emoji28][emoji28][emoji28]
Lubasha Jr ndio katudanganya watzNani kakudanganya tunalipwa? Ni mapenzi tu ya Nchi yetu ambayo sasa imekuwa ni kichekesho hata kuwekwa kundi moja na Burundi, Burkina Faso, Somalia etc.
Lubasha Jr ndio katudanganya watz
Tanzania kundi moja na Burundi, Burkina Faso, Somalia in terms of what ? ?.
Nakuja PM lakini acha kunibania rizki Kakaa
Ile christmas nilitangulia nikiamin tutakutana. Naona kimya. Naimgia mitandaon mbona kilio[emoji119]Dah!...pole sana mpendwa.
Usitumie wingi kwenye hili, sema una mpenda sio tunampenda. Usimsemee mtu.Yanasemwa mengi sana ila ukweli utabaki kuwa ukweli sio kila anaye kosoa serikali au Mh Rais basi anamchukia Rais au anania mbaya na serikali.
We love our President and we real care him. Mungu amlinde. Nakumtumza kwa manufaa ya Taifa na Raia wote.
Merry Christmas and happy New year 2021
Kwahiyo Ninyi wapinzani na wanaharakat ndio wenye akili ya kuelewa ?Siku ukitia akili kichwani utaelewa tu. Kwa sasa endelea kujibaraguza na huu uchumi wa JIWE. Acha ujinga wewe sikujui hunijui kwanini ujibaraguze!? [emoji15]
Kwahiyo Ninyi wapinzani na wanaharakat ndio wenye akili ya kuelewa ?
Umepata habari za Putin lakini mkuu ?
[emoji23][emoji23]ila watu mnapiga hela aisee haya kaka nimeghairi siji, watakuja unaowajua
Okay samahanAcha kuongea pumba. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.
Mnufaika na utawala, jingelee wewe siyo tunampenda sema ninampenda.Yanasemwa mengi sana ila ukweli utabaki kuwa ukweli sio kila anaye kosoa serikali au Mh Rais basi anamchukia Rais au anania mbaya na serikali.
We love our President and we real care him. Mungu amlinde. Nakumtumza kwa manufaa ya Taifa na Raia wote.
Merry Christmas and happy New year 2021
Wanamsapoti kinafki ila hawapendi anayofanya!!Kwa alivyojiwekea Yeye, asivyojiamini na anavyoendelea pia Kudanganywa na Wanafiki wanaomzunguka 24/7 tunaomkosoa ni Maadui zake zaidi.
Kama hawa Wawili Mmoja ana Mamlaka ya Outside na yule mwingine ana Mamlaka ya Inside japo hata Mchukua Minutes Mkuu tu nae hamkubali.Wanamsapoti kinafki ila hawapendi