Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nimekaa na kutafakari kwanini kipindi cha miaka 6 ya utawala wa JPM miradi mingi imeanzishwa na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa je ni mabadiliko makubwa za kiuchumi anayoyaleta Mheshimiwa Rais Magufuli toka tupate uhuru ?

Pamoja na hali ya biashara kuwa ngumu kipindi hiki cha Covd19 lakini ukusanyaji wa kodi umekuwa mkubwa kupita wakati wowote na leo watanzania kwa mara ya kwanza tunashuhudia madini yakichukua nafasi ya kuongoza katika kuingiza pato la taifa. JPM ataingia katika kumbukumbu ya kuwa muasisi wa Tanzania yenye uchumi Imara.
Tulichokuwa tunahitaji ni usimamizi dhabiti.
Serikali zilizopita usimamizi ulikuwa haupo. Hali iliyopelekea mianya ya uwizi na mikataba mibovu kuwekwa na kundi fulani waendelee kupiga pesa.

Amekuja ameliondoa hili , ndio maana unaona mambo yanakwenda.
Usimamizi huu na ufuatiliaji unhekuwepo to enzi za jk. Tungekuwa mbali sana sana.
Hapa nampongeza rais wangu.

Lakin kwenye politics 0.
 
Hahaha, shukrani mkuu.

Wanasiasa kila kitu wanafanya kwa malengo, miradi aliyokimbizana nayo muhula wa kwanza usitegemee kwamba ataenda nayo kwa spidi ile Ile.

Kwa hiyo hata hizo shule za mifano hazitajengwa.
Its all strategic. Ili kupata point za kusimamia kwenye kampeni zijazo. Hahaha this guys bwana
 
Nimekaa nikafikiria nikawaza nimegundua magufuli ndio kiongozi sahihi tena ni kiongozi hasa namuomba mungu azidi mpa nguvu ukiwa na akili timamu utakubaliana na mimi ila ukiwa mpingaji kila jambo utapingana nami ee mungu endelea kumlinda kiongozi wetu
 
Kwa lipi/yapi.. Yalokufikisha hapo????

Hotuba yake ya, unaweza kufa kwa maralia, kansa????

Huyo mtu wako hamjui Mungu, hayajui maandiko, ni mlopokaji na mpayukaji .
Wapi ameropoka au kapayuka acha kuamini ujinga unaopandikizwa na wajinga magufuli ndio kiongozi anaestahili kuongoza hebu fikiri Mara mbili kwanza hicho unachowaza wewe afanye ungekuwa we ungefanay au upo nyuma ya keyboard
 
Nimekaa nikafikiria nikawaza nimegundua magufuli ndio kiongozi sahihi tena ni kiongozi hasa namuomba mungu azidi mpa nguvu ukiwa na akili timamu utakubaliana na mimi ila ukiwa mpingaji kila jambo utapingana nami ee mungu endelea kumlinda kiongozi wetu
Mmh?sawa ilatambua kua huyo unaemwamini nikigeugeu analoliongea silo analolifanya
 
Wapi ameropoka au kapayuka acha kuamini ujinga unaopandikizwa na wajinga magufuli ndio kiongozi anaestahili kuongoza hebu fikiri Mara mbili kwanza hicho unachowaza wewe afanye ungekuwa we ungefanay au upo nyuma ya keyboard
Kipi nachofikiri Afanye ???..

Akili yako imekutuma kama alivyosema kua hawek lockdown, basi umedhan nawaza lockdown????
 
Nimekaa nikafikiria nikawaza nimegundua magufuli ndio kiongozi sahihi tena ni kiongozi hasa namuomba mungu azidi mpa nguvu ukiwa na akili timamu utakubaliana na mimi ila ukiwa mpingaji kila jambo utapingana nami ee mungu endelea kumlinda kiongozi wetu
Rubbish coupled with akili ndogo
 
Nimefurahishwa na swali lake kwa waombolezaji, "na nyinyi hamuamini kama kuna Mungu" hakika tukiwa na Mungu we shall fear no ill.
 
Hakika, leo ametoa hotuba fupi lakini ndefu kwa aliyoyaongea. Hakika kiongozi tunaye.
Nimekaa nikafikiria nikawaza nimegundua magufuli ndio kiongozi sahihi tena ni kiongozi hasa namuomba mungu azidi mpa nguvu ukiwa na akili timamu utakubaliana na mimi ila ukiwa mpingaji kila jambo utapingana nami ee mungu endelea kumlinda kiongozi wetu
 
Nadhani si sahihi kuhoji usahihi wake tokana na mawazo yako maana wewe sehemu ndogo katika waTZ milion 60's!!! leta uthibitisho wenye hoja na mantiki kulingana na miiko ya uongozi unaotokana na katiba ya nchi
 
Duh....
Eti barakoa zina virusi, hivi virusi vinakaa muda gani ndio vife?
Kontena la barakoa linachukua muda gani kutoka huko India, China au Korea hadi lifike nchini?
Kwanini TBS wanaruhusu barakoa hatari kuingia nchini ha rais hajawawajibisha?
Huyu ni nabii wa uongo
 
Screenshot_20210222-104004.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nabii kwenye familia yako.
Usituchefue hapa
Naandika haya nikijua wapo watakaonikejeli na kunitukana lakini ukweli una tabia moja uupende uukatae wenyewe unasimama tu...rais huyu ni mteule wa MUNGU Ni nabii mbeba maono wa wakati wake,ni nadra kutokea mtu mwenye uthubutu wa kuwapinga waziwazi mabeberu..tunayajua maguvu na ushawishi wao,wameiteka dunia kiuchumi,kijeshi na kijasusi na asilima 99.9 ya matukio duniani huratibiwa na hao..rais wetu anaendelea kuvipiga vita hivi na mwendo ataumaliza tu...historia ya dunia itamwandika shujaa huyu wa afrika,vizazi na vizazi vitamwadhimisha nabii huyu wa zama hizi..
 
Back
Top Bottom