Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Tulichokuwa tunahitaji ni usimamizi dhabiti.Nimekaa na kutafakari kwanini kipindi cha miaka 6 ya utawala wa JPM miradi mingi imeanzishwa na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa je ni mabadiliko makubwa za kiuchumi anayoyaleta Mheshimiwa Rais Magufuli toka tupate uhuru ?
Pamoja na hali ya biashara kuwa ngumu kipindi hiki cha Covd19 lakini ukusanyaji wa kodi umekuwa mkubwa kupita wakati wowote na leo watanzania kwa mara ya kwanza tunashuhudia madini yakichukua nafasi ya kuongoza katika kuingiza pato la taifa. JPM ataingia katika kumbukumbu ya kuwa muasisi wa Tanzania yenye uchumi Imara.
Serikali zilizopita usimamizi ulikuwa haupo. Hali iliyopelekea mianya ya uwizi na mikataba mibovu kuwekwa na kundi fulani waendelee kupiga pesa.
Amekuja ameliondoa hili , ndio maana unaona mambo yanakwenda.
Usimamizi huu na ufuatiliaji unhekuwepo to enzi za jk. Tungekuwa mbali sana sana.
Hapa nampongeza rais wangu.
Lakin kwenye politics 0.