Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwa roho mbaya kukili watu .alizalisha watu wasio julikana kazi yao ilikuwa moja kuteka .
 
KIMEI kaondolewa na mwendazake , tena kujiuzulu bila nitisi.

Mwendazake alikuwa anamsifia sana Kimei baada ya kufungua tawi la CRDB kule Chatto ingawa hakukukidhi vigezo vya kuwa na Tawi!! Hata kutoa ahadi kuwa angempatia kazi baada ya kuondoka CRDB!!! Kimei hakujiuzuru, bodi yake walimstukiza tu kuwa walikuwa wanatafuta CEO mwingine!!!!
 
wachaga hua mna shida siku zote hata kabla ya JPM. ninyi ni wezi wezi na walaghai mnajulikana,hivyo basi msilalamike
 
We ndomwehu Tena kama jpm.tena tunataka mwehumwenzio afe mara 2,asije fufuka tena
Pumbavu mkubwa Wewe, badala ya kuandika utakachokikumbuka kwake unakuja kuni quote nitakachomkumbuka mimi!!!

Alokwambia Mimi na wewe tuwe na akili na mawazo yanayofanana ni Nani??

Pumbavuuu!!
 
Uka
Ukatili!
 
wachaga hua mna shida siku zote hata kabla ya JPM. ninyi ni wezi wezi na walaghai mnajulikana,hivyo basi msilalamike
WASUKUMA mna shida siku zote, mna wivu wa maendeleo ya watafutaji, mtabaki kutumia nguvu nyingi bila akili.
 
Mwendazake aliyaka mtu wake wa TISS pale CRDB ili kushirik dhambi ya kutoa siri za akaunti za wateja kitu ambacho alifanikiwa lakini Mungu kamleta mama, mama anafungua akaunti na kurudisha feza xilizoporwa na mwendazake.
 

Kuruhusu chama kimoja kufanya siasa wakati vingine vimezuiwa na mwisho kuchangia pakubwa kuvuruga chaguzi serikali za mitaa na zinginezo kwa kuwahogofya wakurugenzi na watendaji wengine
 
Nitamkumbuka hayati Rais Wa awamu ya tano kama rais Wa pekee aliyeweza kuutafuna mfupa uliowashinda marais wote watangulizi wake: Kuthubutu na kuweza kuhamishia makao makuu DODOMA.
Mfupa mwingine uliowashinda watangulizi wake ni ujenzi Wa bwawa LA kufua umeme Stiglers George! ujenzi wa reli -SGR
Lingine ni kufuta uongo kuwa Tanzania ni nchi maskini! We are very rich!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…