Ndiyo maana aliondoka baada ya hapoNi kawaida ukiwa na tatizo fulani la kiafya kubwa huwezi kuogopa kifo.
Mzee wetu alikuwa na tatizo la Moyo kwa muda mrefu, alijitahidi kuona kifo sio big deal
Bora umesema weweAsingeogopa kifo asingejiwekea ulinzi mzito wa majeshi na wachawi kwa namna ile.
Bado yupo?Hakuogopa wapi huyu aliamini sana nguvu za giza aliwasikiliza sana waganga wake.
Wewe mwongo, Rais wetu alimtegemea Mungu sana na mara zote aliwaomba watanzania wamwombee. Wewe tu ndo muumini wa nguvu za giza!Hakuogopa wapi huyu aliamini sana nguvu za giza aliwasikiliza sana waganga wake.
Kwahiyo ndiyo aliyemuua?Utakuwa mchawi wewe si bure!
Mkuu,hakuna utaratibu wa kujiwekea ulinzi Isipokuwa Hali halisi ya wanausalama hasa wanapoona kiongozi wao yupo katika hatari ya kiusalama zaidi, hasa kulingana na namna ya Uongozi wake.Asingeogopa kifo asingejiwekea ulinzi mzito wa majeshi na wachawi kwa namna ile.
Bila shaka mtoa mada sasa atakuwa ameshapata jibu sahihi. Watanzania wote walio kiogopa kifo, walifunga safari kwenda kijijini Samunge wakati ule, kwenda kupata kikombe cha Babu!Alikua anaogopa ndio maana alienda hadi Loliondo kwa babu 2011
View attachment 1801149