Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Ni kawaida ukiwa na tatizo fulani la kiafya kubwa huwezi kuogopa kifo.
Mzee wetu alikuwa na tatizo la Moyo kwa muda mrefu, alijitahidi kuona kifo sio big deal. Probably aliogopa mwanzoni ila alipogundua sio kitu anaweza badili inabidi akubaliane na ukweli tu kuwa atakufa anytime.
Mkuu hata wewe ukiambiwa kansa imeshakula tumbo lote utashtuka mwanzoni tu kisha baada ya muda utakuwa tayari kwa kufa kimawazo na kimatendo