Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ni kawaida ukiwa na tatizo fulani la kiafya kubwa huwezi kuogopa kifo.

Mzee wetu alikuwa na tatizo la Moyo kwa muda mrefu, alijitahidi kuona kifo sio big deal. Probably aliogopa mwanzoni ila alipogundua sio kitu anaweza badili inabidi akubaliane na ukweli tu kuwa atakufa anytime.

Mkuu hata wewe ukiambiwa kansa imeshakula tumbo lote utashtuka mwanzoni tu kisha baada ya muda utakuwa tayari kwa kufa kimawazo na kimatendo
 
Asingeogopa kifo asingejiwekea ulinzi mzito wa majeshi na wachawi kwa namna ile.
Mkuu,hakuna utaratibu wa kujiwekea ulinzi Isipokuwa Hali halisi ya wanausalama hasa wanapoona kiongozi wao yupo katika hatari ya kiusalama zaidi, hasa kulingana na namna ya Uongozi wake.

Na Kwa Magufuli usalama wa Taifa wasingefanya hivyo, Kwa jinsi JPM alivyokuwa tayari amekuwa na maadui wengi wa ndani na nje, hasa Kwa kugusa maslahi Yao, ingelitokea afe ama adhulike Kwa uzembe wa kiusalama, wasingeeleweka

Hilo la pili kuhusu uchawi, Mimi ninahakika hata wewe huna uhakika huo, vinginevyo, wewe ndio useme ulikuwa mlinzi wa kichawi wa JPM
 
Alikua anaogopa ndio maana alienda hadi Loliondo kwa babu 2011
View attachment 1801149
Bila shaka mtoa mada sasa atakuwa ameshapata jibu sahihi. Watanzania wote walio kiogopa kifo, walifunga safari kwenda kijijini Samunge wakati ule, kwenda kupata kikombe cha Babu!

Hivyo na hayati nae alikiogopa kifo! Kifo kinatisha! ☠️ Kifo kinaogopesha!
Hakuna anayependa kufa! Yaani uache raha zote hizi za hapa duniani! Aaah wapi!
 
Ukishafikia mafanikia ya juu katika ndoto zako huwezi ogopa bali kuacha alama itakayokumbukwa kwa muda mrefu, Martin Luther King
 
Kaliuli za mtanikumbuka,nitakufa ,nimejitoa muhanga huu ote ni upuuzi wa vionhozi wanaotawala kwa staili ya imla.
Huwa wanakuaga wakatili sana.

Wanachisema tofauti na wanachofanya.

Watu walipotea kwa bahati na yeye kapote.

Kama kweli roho hazifi basi atakutana na roho za waliotangulia.watachomfanya siri yake.
 
Back
Top Bottom