Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kama watu wote wangekuwa wanaogopa kifo basi kusingekuwa na wale wenye kujitoa muhanga kwa kujilipua mabomu.
 
Kama watu wote wangekuwa wanaogopa kifo basi kusingekuwa na wale wenye kujitoa muhanga kwa kujilipua mabomu.
Sasa wale si wanakuwa tayari brain washed kwa kuahidiwa mabikira 70 huko ahera, nk! Ukiwarudisha katika hali ya kawaida, kamwe hawawezi kukubali.
 
Ulinzi wote alokuwa nao kupita hata awamu zote za uongozi Tanzania ndo useme hakuogopa kifo? Nadhani alifahamu hali yake ya kiafya ndiyo maana akataka akiondoka ajulikane kama shujaa mkubwa Tanzania na Africa. Maana alipenda sifa mno na hakutaka kukosolewa hata kidogo.
 
Hivi Magufuli tu ndio alikuwa katili au yeye alikuwa hawezi kung'ata na kupuliza? maana nakumbuka alivyofanywa Dr. Ulimboka kwenye utawala wa Kikwete ila sioni watu wakimzungumzia Kikwete kama katili.
 
Hivi Magufuli tu ndio alikuwa katili au yeye alikuwa hawezi kung'ata na kupuliza? maana nakumbuka alivyofanywa Dr. Ulimboka kwenye utawala wa Kikwete ila sioni watu wakimzungumzia Kikwete kama katili.
Ulimboka alitumika na watu wenye uroho wa madaraka.

Walikua wanamtumia kutengeneza taharuki(corruption) ili Rais aliekuwepo kipindi kile ambae ni jk aonekane ni dhaifu na nchi ionekane imemshinda.

Ukumbuke kulikua na taharuki kila sehemu.

Migomo ya madaktari ,mgao wa umeme,mandaamano ya wanachuo,wafanyakazi kudai nyongeza, migomo ya madereva wa mabasi nk.
Hii ni mbinu ya kimapinduzi ya dunia ya sasa, yanaitwa mapinduzi ya kisiasa.

Mtu mmoja mwenye uwezo wa ushawishi na fedha anafanya ili kumpindua mwenzie.

Mbinu hii ya kimapinduz inafanywa baada ya ile ya kijeshi kuonekana ina vikwazo vingi kutoka kwenye jumuia za kimataifa.

Hivyo kwa wakati ule tushuru kulikua na usalama imala kujua vijana wa aina ya urimboka wanavyo tumika na kwakua jk alikua hapend zambi na kula damu za vijana wa aina ile,aliishia kuteswa tu ili wataje anaowatumia akishataja anaachwa.

NAKUHAKIKISHIA MITIHANI ALIEKUMBANA NAE JK KWENYE UTAWARA WAKE KWA WAKATI ULE ANGEKUA MAGU WANGEPOTEA WENGI.

Visa vile ndio vilivyomuondoa mzee wa rich.

Na naamini magu alikua muoga sana kuhusu haya mambo na ndiomaana hakutaka kusikia mtu yeyeyote kumkosoa maana aliethubutu kumkosoa alikiona chamoto kama sio kupote kabisa.
 
Mbona aliweka uliinzi mkubwa sana kama tupo vitani kama aliogopa
 
Sasa wale si wanakuwa tayari brain washed kwa kuahidiwa mabikira 70 huko ahera, nk! Ukiwarudisha katika hali ya kawaida, kamwe hawawezi kukubali.
Ndio ujue kuna watu hawaogopi kifo na huo ni mfano tu mmoja, kuna wanajeshi wanaoenda vitani n.k
 
Ndio maana nakwambia Magufuli alikuwa hawezi kung'ata na kupuliza tu kama wenzie ila unyama aliyofanyiwa Ulimboka ilikuwa imepangwa auliwe na bora wangemuuwa tu kuliko ule unyama waliyomfanyia, yule kama Lissu tu hazikuwa siku zao za kufa ila wabaya wao walikuwa wamepanga kuuuwa kabisa.
 
Na ndio maana alitamani aondoke na wengi nyuma yake... *****!!!
 
Ndugu yangu,

Nyerere alitaifisha shule, mahosipitali, viwanda, makampuni, mashamba, majumba, majengo na mengine mengi sana.
Pamoja na kupitia misukosuko ya uasi wa jeshi( Tanganyika Rifles) na hatari za mapinduzi karibu mara tatu, ulinzi wake haukuwahi kufikia hata moja ya mia ya ule wa Mwendazake.

Alipokuwa anaenda au kutoka SAFARI za nje ya nchi, msafara wa ulinzi wa Kambarage ulikuwa na pikipiki 1au 2, magari 3 mpaka 5 likiwamo alilopanda. Mara chache sana msafara wa ulinzi wake, ulizidi hapo, ikiwamo safari ya kwenda au kurudi tokea Butiama akienda Musoma au Mwanza.

Aidha katika misafara yake, Nyerere hakuwahi kuandamana na wanajeshi waliobeba misilaha ya kivita kama vile watayafyatua wakati wowote wakiwalekezea hata watoto/wanafunzi.

Alipokuwa kwenye ziara mikoani/wilayani/vijijini, magari yaliyoongezeka mengi yalikuwa ya viongozi wa serikali na ya wanasiasa, kitu ambacho hata hivyo yeye alikuwa akikilalamikia waziwazi.

ULINZI ule ni dhahiri kuwa JIWE aliutaka mwenyewe kwa hofu/uoga wake kama walivyokuwa madhalimu wengine akina Moi, Mobutu etc.

'Actions speak louder than words'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…