Huko kuua upinzani na kufikiri yuko sahihi kwa kila kitu ndio kulimfanya awe Rais bora.Mwanzo nilikuwa namchukulia poa sana magufuri kumbe jamaa ingawaji mambo mengine alikuwa atemba vibaya lakini jamaa alikuwa ni rais bora sana.
Ila mwamba alichokosea ni kuua upinzani na akafikiri yeye maamuzi yake ndio yako sawa kila kitu, lakini jamaa narudia tena alikuwa ni rais bora sana.
Picha la kutisha
View attachment 2288162
Kumbe wabunge mlikuwa mnajiuza?Upinzani unakufa kwa kufanya kazi vizuri?
Mbona aliyekuwa anajiita mchapa alinunua WABUNGE?
Mbona alimpiga risasi tundu lisu?
Mbona alimpiga marufuku mikutano ya hadhara?
Kawadanganye wasukuma wenzio huko
Siku zimesema ukweli na zitaendelea kusema ukweli.Unasema corona ni igizo na limewaondoa hata hao waliokua wakiidharau.!?
Tulia wewe tulambe asali sisiBoss, mi ningekushauri wewe na wafuasi wooote wa Magu, muache kumsemea huyo Mwamba, muiige familia yake, wako kimyaaa pamoja na matusi kila kona, ni wazi kuwa "Kizuri chajiuza........."
Wakati anagombea uraisi, akawa anadhurula kila kichochoro, uchaguzi ulipoisha akasema ili arudi TZ, ahakikishiwe usalama wake na apewe ulinzi. Jamaa alipokata moto, akaongeaaaa weeeee, nikajua sasa anarudi, wapi! Akasema mama ampe umuhakikishie usalama na ulinzi, akapewa pesa, kimyaaaaaa na hajarudi. Sasa hutamaliza ugali wako tumboni bureee kwa watu wa mtindo huu? Sasa woooote wanaomtukana mwamba ndio dizaini hii.
Familia zooote za walafi zimerudishiwa makoloni yao, unawasikia tena siku hizi, ulikuwa ukikaa huku unasikia, shangazi, kule sharungi, huku zoto ilimradi tu.
Muda ni mwalimu mzuri.
Wewe Mambo ya Lissuu kupigwa risasi nenda kamuulize Kubenea..yeye alishamtaja Mbowee kuwa anajua alipo..au hamtaki kiyo habari mbona mnaturudisha nyuma kila siku..una akili kweli wewwUpinzani unakufa kwa kufanya kazi vizuri?
Mbona aliyekuwa anajiita mchapa alinunua WABUNGE?
Mbona alimpiga risasi tundu lisu?
Mbona alimpiga marufuku mikutano ya hadhara?
Kawadanganye wasukuma wenzio huko
Wahuni ni wale waliokataa Covid kuwa haipo halafu wakaenda kujipiga lockdown kijijini kwao kwa miezi 2 na kila siku wakifanya steam therapy ?Siku zimesema ukweli na zitaendelea kusema ukweli.
Wenye hiyo biashara mnaiita corona Saivi wako bize na vita, subiri iishe utasikia kirusi kipya kimeibuka urusi na kinaua ndani ya masaa24 tu.
Magu alikua sahihi kabisa kuukataa huo uhuni, kama issue ni kudharau unataka kunambia hawa raia waliokuwa wameudharau huo uhuni mnaita corona wakawa wanajazana kwenye masoko na daladala wote saivi ni marehemu????
Hata haihitaji kuwa na elimu ya msingi kujua magufuri hakufa kwa huo uhuni mnaita corona
Lissuu huyu mtetezi wa mashoga au yupi jombaLissu ni Rais ajaye,hata wewe unajua hivyo!
Bora liendeMagufuli alikuwa raisi bora sana.
Mavi ya bata labda Rais wako wewe na nyumbu wenzioLissu ni Rais ajaye,hata wewe unajua hivyo!
Uzuri hilo igizo la corona limeondoka na bush man
Ahhh, unarukaruka bila hoja. Jikite kwenye mada.Lissuu huyu mtetezi wa mashoga au yupi jomba
Umeongea naye akakuambia hivyo?Bwn Lisu huko nje maisha mazuri sidhani kama atarudi.
Kwanza jibu hoja nimeuliza tu wajameniAhhh, unarukaruka bila hoja. Jikite kwenye mada.