Boss, mi ningekushauri wewe na wafuasi wooote wa Magu, muache kumsemea huyo Mwamba, muiige familia yake, wako kimyaaa pamoja na matusi kila kona, ni wazi kuwa "Kizuri chajiuza........."
Wakati anagombea uraisi, akawa anadhurula kila kichochoro, uchaguzi ulipoisha akasema ili arudi TZ, ahakikishiwe usalama wake na apewe ulinzi. Jamaa alipokata moto, akaongeaaaa weeeee, nikajua sasa anarudi, wapi! Akasema mama ampe umuhakikishie usalama na ulinzi, akapewa pesa, kimyaaaaaa na hajarudi. Sasa hutamaliza ugali wako tumboni bureee kwa watu wa mtindo huu? Sasa woooote wanaomtukana mwamba ndio dizaini hii.
Familia zooote za walafi zimerudishiwa makoloni yao, unawasikia tena siku hizi, ulikuwa ukikaa huku unasikia, shangazi, kule sharungi, huku zoto ilimradi tu.
Muda ni mwalimu mzuri.